AZAM FC KUREJEA KAMBINI LEO RASMI
HomeMichezo

AZAM FC KUREJEA KAMBINI LEO RASMI

  BAADA ya kupewa mapumziko mafupi leo Januari 25 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kurejea kambini. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC...

LUKAKU BADO YUPO INTER
VIDEO:YANGA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA MABAO
VIDEO:MWINA KADUGUDA HAJUI MPILI KATOKEA WAPI

 


BAADA ya kupewa mapumziko mafupi leo Januari 25 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kurejea kambini.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,  Zakari Thabit amesema kuwa mapumziko ambayo walipewa wachezaji yalikuwa ni ya siku mbili.

Kambi ya Mabingwa wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi wakiwa na mataji matano ilikuwa Zanzibar ambapo huko walicheza michezo mitatu ya kirafiki.

Kwenye hiyo michezo mitatu walipoteza mmoja na kushinda miwili hivyo wanarejea tena kuendelea pale ambapo wakiishia.

"Wachezaji walipewa mapumziko mafupi na Jumatatu,(leo) wanatarajiwa Kurejea kambini ili kuendelea na maandalizi kwa ajili ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC KUREJEA KAMBINI LEO RASMI
AZAM FC KUREJEA KAMBINI LEO RASMI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2dTS0SbEwfHBSAUh_gIUgpU_I4KjM4c2CeHHkhs9zJfsjfA0smYOEAUdbUYGFv8nLT7PciAh0VGYcQL_M-RtpPRYdQtTTKuSdZkaXG7rd-HihuWIJMaAiKkmisudwlpOsGKqqOdtyPfMM/w626-h640/IMG_20210124_151414_287.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2dTS0SbEwfHBSAUh_gIUgpU_I4KjM4c2CeHHkhs9zJfsjfA0smYOEAUdbUYGFv8nLT7PciAh0VGYcQL_M-RtpPRYdQtTTKuSdZkaXG7rd-HihuWIJMaAiKkmisudwlpOsGKqqOdtyPfMM/s72-w626-c-h640/IMG_20210124_151414_287.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fc-kurejea-kambini-leo-rasmi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fc-kurejea-kambini-leo-rasmi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy