KIPA wa Dodoma Jiji, Manyika ambaye jana alikaa langoni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na kuokota nyavuni mabao matatu amesem...
KIPA wa Dodoma Jiji, Manyika ambaye jana alikaa langoni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba na kuokota nyavuni mabao matatu amesema kuwa waliadhibiwa kutokana na wapinzani wao kutumia udhaifu wao kwenye mchezo wao mbele ya Simba. Ameongeza kuwa Simba ni timu bora kwa sasa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS