Mama Auwa Na Mumewe Kwa Kushirikiana Na Watoto Wake Wakiume
HomeHabari

Mama Auwa Na Mumewe Kwa Kushirikiana Na Watoto Wake Wakiume

Na Lucas Raphael,Tabora  JESHI LA polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu wakiwemo mume na watoto wake wawili kwa kula njama za ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 24, 202
Maadhimisho ya Siku ya Usafiri wa Maji duniani kuanza leo Septemba 23
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 23, 2024


Na Lucas Raphael,Tabora 

JESHI LA polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu wakiwemo mume na watoto wake wawili kwa kula njama za kuumua mama yao na mume kuumua mkewe       aliyetambulika kwa ajina la Maria Kishiwa baada ya mwanamke huyo kuungua maradhi kwa muda mrefu waliona kero hivyo wakalazimaka kummalizaia mbali mama huyo .

Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani Tabora Safia Jongo alisema kwamba tukio hilo lilitokea agasti 3 mwaka huu  Asubuhi katika kijiji cha Isalalo kata ya Utwigu wilaya ya Nzega mkoani hapa .


Alisema kwamba chanzo ni kuugua maradhi kwa muda mrefu na mbinu iliyotumika ni kumfanga kamba shingoni na kumninginiza ili aonekane kuwa amejinyonga.

Alisema kwamba Maria alikuwa amefariki akiwa amefungwa kamba shingoni huku akininginia na kamba ikiwa imefungwa kwa kukazwa kwenye nguzo ya jiko kitu ambacho marehemu hakuwa na nguvu kiasi hicho baada ya kuugua kwa muda mrefu

Hata hivyo kamanda huyo wa polisi  alisema kwamba baada ya kumninginiza marehemu waliacha kinu na kigoda bila kuanguka chini ili kuonyesha kuwa ndipo alipopanda na kujinyoga .

 â€œWakati ni vigumu kwa mtu mgonjwa kupanda hadi kuwe na masada wa watu wengine jambo ambalo lilileta mashaka “ alisema kamanda Safia .

Alisema kwamba marehemu Maria alikuwa analala na mjukuu wake ambaye alifichwa ili asibaini mbinu hiyo ya mauaji jambo hilo ndilo lilipelekea polisi kuanza kuchuguzi ambapo mjukuu huyo alisema kila kitu kilichofanyika kumuua bibi yake.

Alisema kwamba majina ya watu hao watatu yamehifadhi kwa ajili ya uchuguzi mzima wa tukio hilo la kinyama

Hili nituo la pili kutokea katika wilaya ya nzega kwa muda wa usiozidi wiki Tatu baada ya watoto wawili wakiwa wanachunga mifugo kuuawa na kufukiwa kwenye shimo ili kupoteza ushaidi.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mama Auwa Na Mumewe Kwa Kushirikiana Na Watoto Wake Wakiume
Mama Auwa Na Mumewe Kwa Kushirikiana Na Watoto Wake Wakiume
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVnonEg7LoEBovPbNQglqi6Xy31CQBZGQjQWu9dt9rKM5BbFPs47PGmQWL_zNIJzhMsxRDP5rW3Aj0d_VfVBqeYVODWkTz-cY3HTWyTNeVWpoOM5dxTu4cb0sSHLsida2yyhMqqq7LBJMs/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVnonEg7LoEBovPbNQglqi6Xy31CQBZGQjQWu9dt9rKM5BbFPs47PGmQWL_zNIJzhMsxRDP5rW3Aj0d_VfVBqeYVODWkTz-cY3HTWyTNeVWpoOM5dxTu4cb0sSHLsida2yyhMqqq7LBJMs/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/mama-auwa-na-mumewe-kwa-kushirikiana-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/mama-auwa-na-mumewe-kwa-kushirikiana-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy