Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji baada ya mazungumzo yao ofisini ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 8, 2022.

Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS