KAGERA SUGAR:TUTAFANYA USAJILI MZURI KUFIKIA MALENGO
HomeMichezo

KAGERA SUGAR:TUTAFANYA USAJILI MZURI KUFIKIA MALENGO

 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa watafanya usajili mzuri kwa msimu wa 2021/22 ili waweze kufikia malengo ambayo...


 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa watafanya usajili mzuri kwa msimu wa 2021/22 ili waweze kufikia malengo ambayo wanahitaji.

Msimu huu Kagera Sugar imemaliza ikiwa nafasi ya 12 na pointi 40 baada ya kucheza mechi 34 na ilikuwa inapambana kwenye kujinasua kushuka daraja jambo ambalo lilifanikiwa.

Tayari panga limepita ndani ya timu hiyo inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwa wachezaji nane kuachwa mazima ikiwa ni pamoja na Mohamed Ibrahim, Ally Mtoni pamoja na kipa Benedict Tinocco.

Baraza amesema:"Nilikuja hapa Kagera Sugar ili kuonyesha ubora ambao ninao na sikuwa na mashaka kwa kuwa nilikuwa ndani ya Biashara United na nilifanya vizuri pia.

"Kwa ajili ya wakati ujao imani yangu ni kuona kwamba tunafanya usajili vizuri kwa kuwa kila mmoja anahitaji kuona timu inafanya vizuri hasa kwenye mashindano.

"Katika wakati wa usajili tutafanya kazi kubwa ya kusajili wachezaji wazuri ambao watakuwa na kazi ya kusaka ushindi ndani ya uwanja," .

Tayri nyota wao ambaye alikuwa kinara kwenye utupiaji ni Yusuph Mhilu, yupo zake ndani ya Simba akiwa amepewa dili la miaka miwili.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KAGERA SUGAR:TUTAFANYA USAJILI MZURI KUFIKIA MALENGO
KAGERA SUGAR:TUTAFANYA USAJILI MZURI KUFIKIA MALENGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgv8FB0DWItawluN3Ul4EVxslFU9HycIMpU_XDIw0SXV7IXRpxykceAsaylZ4Iyi7sFwWxC6bxLPXp4i6upY8el-hzbmz2x1Zc2H3vKXnGFs1jsg3az_W5pNY4ee4qh_2o35qlm-GSg62RU/w640-h360/Mhilu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgv8FB0DWItawluN3Ul4EVxslFU9HycIMpU_XDIw0SXV7IXRpxykceAsaylZ4Iyi7sFwWxC6bxLPXp4i6upY8el-hzbmz2x1Zc2H3vKXnGFs1jsg3az_W5pNY4ee4qh_2o35qlm-GSg62RU/s72-w640-c-h360/Mhilu.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kagera-sugartutafanya-usajili-mzuri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kagera-sugartutafanya-usajili-mzuri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy