JKT TANZANIA YAIPIGA MKWARA SIMBA
HomeMichezo

JKT TANZANIA YAIPIGA MKWARA SIMBA

ABDALAH Mohamed,'Bares' Kocha Mkuu wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara d...

SIMULIZI YA BABA ALIYESHUHUDIA BINTIYE AKIPIGWA ASIMUITE BABA
YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA
VIDEO: KARIAKOO DERBI NI KISASI DHIDI YA REKODI, MGOMBEA URAIS TFF ATINGA MAHAKAMANI

ABDALAH Mohamed,'Bares' Kocha Mkuu wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba.

Mchezo wa leo ni wa mzunguko wa pili ambapo kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma dakika 90 zilikamilika JKT Tanzania 0-4 Simba.

Hivyo leo unatarajiwa kuwa mchezo wa kisasi kwa kuwa JKT Tanzania inapambana kutoshika daraja huku Simba ikipambana kuishusha Yanga nafasi ya kwanza ili kuweza kutetea ubingwa wake.

Kwenye msimamo JKT Tanzania ipo nafasi ya 10 imekusanya jumla ya pointi 24 baaada ya kucheza jumla ya mechi 21. Inakutana na Simba Uwanja wa Mkapa iliyokusanya jumla ya pointi 42 ipo nafasi ya pili na imecheza jumla ya mechi 18.

Bares amesema:"Vijana wapo vizuri na wanatambua kwamba tunacheza na timu ya aina gani, kikubwa ambacho tunahitaji ndani ya uwanja ni ushindi.

"Mashabiki wajitokeze kutupa sapoti kwani hakuna mwalimu ambaye anapeleka timu uwanjani akiwa anafikiria kupoteza," amesema.

Leo Bares atakosa huduma ya mtupiaji wake namba moja Adam Adam mwenye mabao 7 kwa kuwa yupo Uturuki kwa ajili ya majaribio.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JKT TANZANIA YAIPIGA MKWARA SIMBA
JKT TANZANIA YAIPIGA MKWARA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI2uWdcraEI-A3JnTF69irYOqA-JuwrDwnT_xZW6IzJV_LmzZxe5GhLXGu2sVRqEH3N3ilq8N1ecqqDmOc23iKU3ShoOg1LODQEG-ZY98r8ZUszPEL0I2208GaFC07g1t1r3HWpYpP_rXI/w640-h418/JKT+2020.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgI2uWdcraEI-A3JnTF69irYOqA-JuwrDwnT_xZW6IzJV_LmzZxe5GhLXGu2sVRqEH3N3ilq8N1ecqqDmOc23iKU3ShoOg1LODQEG-ZY98r8ZUszPEL0I2208GaFC07g1t1r3HWpYpP_rXI/s72-w640-c-h418/JKT+2020.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/jkt-tanzania-yaipiga-mkwara-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/jkt-tanzania-yaipiga-mkwara-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy