SIMBA: BADO TUNAHITAJI KUFANYA VIZURI KWENYE LIGI NA KIMATAIFA
HomeMichezo

SIMBA: BADO TUNAHITAJI KUFANYA VIZURI KWENYE LIGI NA KIMATAIFA

  B EKI  wa kati wa  Simba, Pascal Wawa  raia wa Ivory Coast  amesema kuwa licha ya kushiriki mashindano ya kmataifa bado wana hesabu za k...

MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA KUISHUHUDIA STARS MBELE YA MALAWI
MUDA WA HESABU KWA SASA, MUHIMU KUJIPANGA
DUBE AIWEKA KANDO TUZO YA MEDDIE KAGERE

 BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa licha ya kushiriki mashindano ya kmataifa bado wana hesabu za kufanya vizuri kwenye ligi pia.

 Beki huyo amesema kuwa bado nao wana mipango kwenye ligi kwa kuwa hawakucheza kutokana na kushiriki mashindano ya kimataifa.


Ikiwa imetinga hatua ya robo fainali ilikamilisha hatua ya makundi Aprili 9 kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.


Wawa amesema kuwa kitendo cha wao kuwa bize na michuano ya kimataifa isiwe sababu ya wapinzani kuona urahisi kwa kuweza kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa kuwa hata wao bado wana malengo ya msingi.

 

“Unajua hii michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekuwa ni migumu sana lakini kadiri tunavyopiga hatua ndiyo matarajio na malengo yetu yanazidi kuwa makubwa maana tumefikia kwenda kucheza robo fainali lakini malengo tufike nusu fainali.

 

“Nadhani kuwa bize huku kusiwe sababu ya wengine kuchukulia kuwa ni sehemu ya kuweza kusahau kuwa bado kuna mechi za ligi kwa sababu licha ya kushiriki Ligi ya Mabingwa bado tunahitaji kushinda ubingwa wa ndani wa ligi hivyo haiwezi kuwa jambo rahisi,” amesema Wawa.


Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya tatu na pointi 46 baada ya kucheza mechi 20 huku nafasi ya kwanza ikiwa mikononi mwa Yanga yenye pointi 51 baada ya kucheza mechi 24.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA: BADO TUNAHITAJI KUFANYA VIZURI KWENYE LIGI NA KIMATAIFA
SIMBA: BADO TUNAHITAJI KUFANYA VIZURI KWENYE LIGI NA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdNvmlHhZVZAV-8NsN1463W5_dQAv0m1ZzYmsVmESkB6bgLtI2gUuk4_VMsEL-VrKsUdhGkN_Tnms4QAffezUC9OuBvCSoRB4fNG6sakEeewusxbwpK1wHK8myKsDnwTOBXk-_Uqcvanfa/w640-h426/Wawa+Bongo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdNvmlHhZVZAV-8NsN1463W5_dQAv0m1ZzYmsVmESkB6bgLtI2gUuk4_VMsEL-VrKsUdhGkN_Tnms4QAffezUC9OuBvCSoRB4fNG6sakEeewusxbwpK1wHK8myKsDnwTOBXk-_Uqcvanfa/s72-w640-c-h426/Wawa+Bongo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-bado-tunahitaji-kufanya-vizuri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simba-bado-tunahitaji-kufanya-vizuri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy