SALAH HAJUI LOLOTE KUHUSU MKATABA WAKE NDANI YA LIVERPOOL
HomeMichezo

SALAH HAJUI LOLOTE KUHUSU MKATABA WAKE NDANI YA LIVERPOOL

 MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool amesema kuwa hakuna ambaye amemfuata kwa sasa kuzungumza naye kuhusu suala la kuongeza mkataba w...

AISHI MANULA :TUTAFANYA VIZURI, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
BREAKING:MECHI ZOTE ZA NAMUNGO DHIDI YA WAANGOLA KUPIGWA BONGO
YANGA NA DAKIKA 180 ZA MOTO BONGO

 MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool amesema kuwa hakuna ambaye amemfuata kwa sasa kuzungumza naye kuhusu suala la kuongeza mkataba wake.

Mkataba wa awali wa Salah ndani ya Liverpool unatarajiwa kumeguka Juni 2023 na inaonekana kwamba hakuna mpango wa nyota huyo kuongezewa mkataba.

Nyota huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na Klabu ya Barcelona pamoja na Real Madrid tangu msimu uliopita.

Raia huyo wa Misri amesema kuwa hakuna ambaye amemfuata kuzungumza naye kuhusu suala la mkataba wake jambo ambalo hawezi kulizungumzia kwa sasa.

"Hakuna ambaye anazungumza na mimi kuhusu mkataba hivyo siwezi kusema zaidi. Ndani ya klabu hakuna ambaye anazungumza na mimi kuhusu mkataba hivyo kwa sasa sijui lolote na siwezi kuzungumza.

"Tusubiri na tuone, muda utazungumza kwa kuwa mimi sijui lolote lile," .

Salah alitua kikosini hapo 2017 amefanikiwa kutwaa taji la Ligi Kuu England, Ligi ya Mabingwa Ulaya na akiwa ni mfungaji bora mara mbili. 

Leo kikosi chake kinachonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp, kina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Manchester United mchezo wa Ligi Kuu England.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SALAH HAJUI LOLOTE KUHUSU MKATABA WAKE NDANI YA LIVERPOOL
SALAH HAJUI LOLOTE KUHUSU MKATABA WAKE NDANI YA LIVERPOOL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdMNVzlM3qXElh8SmfUIEPXFRs8EGmgcd1GXYztRvJpakmO5rAjoByGPK4L8yqtrDFnzu91jvFtHBs3GdVIbHVvTc_oBpW6TxnqkoMKzRco-B-PN9ZeK2WlT9AsjeS2XfUMp1bTH0C1VBO/w640-h428/Salah+na+Klop.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdMNVzlM3qXElh8SmfUIEPXFRs8EGmgcd1GXYztRvJpakmO5rAjoByGPK4L8yqtrDFnzu91jvFtHBs3GdVIbHVvTc_oBpW6TxnqkoMKzRco-B-PN9ZeK2WlT9AsjeS2XfUMp1bTH0C1VBO/s72-w640-c-h428/Salah+na+Klop.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/salah-hajui-lolote-kuhusu-mkataba-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/salah-hajui-lolote-kuhusu-mkataba-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy