Bunge La Somalia lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza
HomeHabari

Bunge La Somalia lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza

Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed waliyoidh...

Sitakisahau Kifo cha Mume Wangu Kipenzi
Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali Zanzibar
Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali.


Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed waliyoidhinisha mwezi uliopita baada ya kuzuka mvutano mkubwa kuhusu suala hilo.

 Zoezi la kura hiyo lilirushwa moja kwa moja na televisheni nchini humo na lilifanyika muda mfupi baada ya rais Mohammed kulihutubia bunge na kutangaza nia ya kuitisha uchaguziwa bunge uliocheleweshwa. 

Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa Waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya usalama ikiwa Vikosi vya Serikali vitagawanyika.

Watu 60,000 hadi 100,000 walilazimika kukimbia makazi yao kufuatia mapigano ambayo yalichochea hofu ya vita kati ya vikundi vinavyomuunga mkono Rais na vinavyompinga.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bunge La Somalia lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza
Bunge La Somalia lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2sEBSBWReRJHThTSx1qCJMF7J9IvpbuZHxKDMwkvaSKYDKrykd9WV8ViP6E2qy6vXwbpJRBMohOSRE9dKXfvBSYroPAs9zVI0tl59m8p6lwz4w_Mce3sbpNYQ3gVTpD-0R1oOGwLdnMnz/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2sEBSBWReRJHThTSx1qCJMF7J9IvpbuZHxKDMwkvaSKYDKrykd9WV8ViP6E2qy6vXwbpJRBMohOSRE9dKXfvBSYroPAs9zVI0tl59m8p6lwz4w_Mce3sbpNYQ3gVTpD-0R1oOGwLdnMnz/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/bunge-la-somalia-lapiga-kura-kumfutia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/bunge-la-somalia-lapiga-kura-kumfutia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy