DUBE AIWEKA KANDO TUZO YA MEDDIE KAGERE
HomeMichezo

DUBE AIWEKA KANDO TUZO YA MEDDIE KAGERE

 KINARA wa mabao ndani ya ardhi ya Bongo katika Ligi Kuu Bara, Prince Dube amesema kuwa hana mpango wa kufikiria kutwaa tuzo ya kiatu bora...


 KINARA wa mabao ndani ya ardhi ya Bongo katika Ligi Kuu Bara, Prince Dube amesema kuwa hana mpango wa kufikiria kutwaa tuzo ya kiatu bora kwa sasa zaidi ya kufikiria matokeo chanya kwa ajili ya timu hiyo.

Dube ametupia jumla ya mabao 14 anafuatiwa na mzawa, John Bocco mwenye mabao 13 akiwa ndani ya Simba na ni namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi.

Mwenye kiatu chake kwa msimu uliopita Meddie Kagere yeye ametupia mabao 11 ambapo anapambana kuona namna gani anaweza kufikia malengo yake.

Chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina, Dube amekuwa ni chaguo la kwanza jambo ambalo linampa nafasi ya kufunga mabao mengi zaidi kwa msimu huu wa 2020/21 ikiwa ni msimu wake wa kwanza ndani ya Azam FC.

Nyota huyo amesema:"Furaha kubwa kwangu ni kuona kwamba timu inashinda masuala ya kufikiria kuwa na tuzo kwa sasa hapana, ila kikubwa ni kuona kwamba tunafikia malengo ambayo tumejiwekea.

"Ikiwa timu itashinda basi hapo ni furaha kwangu na nikifunga ama kutengeneza nafasi ya bao ni sawa jambo la msingi ni kuona tunashinda mechi zetu," amesema.

Kwenye msimamo wa ligi, Azam FC ipo nafasi ya tatu na pointi 60 baada ya kucheza mechi 30 vinara ni Simba wenye pointi 67 baada ya kucheza mechi 27.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE AIWEKA KANDO TUZO YA MEDDIE KAGERE
DUBE AIWEKA KANDO TUZO YA MEDDIE KAGERE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgbhqfJ9fgT12ywVM3HRMMkYLnv8YMyXFSdkIDfsWVUmXMF9FsNKGT5nngsWgdDgHqq3zoSPJthN_kUwTpFXdPZ5UqEAJa4R0NgxUAwyxunk89tPu_7XzK7T77fgojQFndRiLmhr-5CKjO/w640-h640/Dube+na+mwana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgbhqfJ9fgT12ywVM3HRMMkYLnv8YMyXFSdkIDfsWVUmXMF9FsNKGT5nngsWgdDgHqq3zoSPJthN_kUwTpFXdPZ5UqEAJa4R0NgxUAwyxunk89tPu_7XzK7T77fgojQFndRiLmhr-5CKjO/s72-w640-c-h640/Dube+na+mwana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dube-aiweka-kando-tuzo-ya-meddie-kagere.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dube-aiweka-kando-tuzo-ya-meddie-kagere.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy