MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA KUISHUHUDIA STARS MBELE YA MALAWI
HomeMichezo

MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA KUISHUHUDIA STARS MBELE YA MALAWI

  MENEJA wa timu ya taifa ya Tanzania, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo...


 MENEJA wa timu ya taifa ya Tanzania, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Malawi.

Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen iliingia kambini Juni 5 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo uliopo kwenye kalenda ya Fifa unaotarajiwa kuchezwa leo Juni 13, Uwanja wa Mkapa.

Miongoni wa wachezaji ambao walianza mazoezi ni pamoja na Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Shomari Kapombe, John Bocco, Idd Suleman, Salum Aboubakary, Edward Manyama.

Akizungumza na Saleh Jembe, Canavaro amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao kwa kuwa mashabiki ni muhimu kwao kuipa sapoti timu yao.

“Hii ni timu ya kila Mtanzania hivyo itapendeza ikiwa watajitokeza kwa wingi kutoa sapoti kwa wachezaji ambao wanawakilisha taifa letu. Imani yangu kila mmoja anapenda kuona wachezaji wakicheza basi wajitokeze kwa wingi.

“Mpira unachezwa na watu 11 kwa kila timu hivyo hao ambao wapo kwetu wapo tayari na imani yetu ni kwamba tutapata matokeo chanya.

"Tupo kwa ajili ya mchezo na matokeo yapo kwa timu ambayo itapambana. Ikumbukwe kwamba hii ni timu yetu wote na benchi la ufundi kazi yao ni kuona nani ataanza ili  kupata ushindi," amesema Canavaro.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA KUISHUHUDIA STARS MBELE YA MALAWI
MASHABIKI WAITWA KWA MKAPA KUISHUHUDIA STARS MBELE YA MALAWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX_ncXoymAlFJe1paOwFvID62qBJscF0AGJZl5S0P3lxhA86hqsY3wkoKLelV6iVhBsrmS46vDv_aocLoXrJVXl6EdqGeV0pBVA5DLa0D_FeioMhxY5W2-_JTkDSNfTwWRxTHs1xVyCMGX/w640-h632/Kapombe+Stars.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX_ncXoymAlFJe1paOwFvID62qBJscF0AGJZl5S0P3lxhA86hqsY3wkoKLelV6iVhBsrmS46vDv_aocLoXrJVXl6EdqGeV0pBVA5DLa0D_FeioMhxY5W2-_JTkDSNfTwWRxTHs1xVyCMGX/s72-w640-c-h632/Kapombe+Stars.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mashabiki-waitwa-kwa-mkapa-kuishuhudia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mashabiki-waitwa-kwa-mkapa-kuishuhudia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy