LUIS: KAZI BADO INAENDELEA KIMATAIFA
HomeMichezo

LUIS: KAZI BADO INAENDELEA KIMATAIFA

 NYOTA wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa jina lake kutajwa kwenye kikosi bora ni mwanzo wake yeye kuendelea kupambana kwa ajili ya ti...

ARSENAL YAMPIGIA HESABU BEKI WA INTER MILAN
EXCLUSIVE: VIDEO: YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUITAKA SAINI YA PAWASA, KILICHOWASHINDA HIKI HAPA
WALTER BWALYA HATIHATI KUIKOSA SIMBA, WENGINE WAWILI PIA MAJANGA

 NYOTA wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa jina lake kutajwa kwenye kikosi bora ni mwanzo wake yeye kuendelea kupambana kwa ajili ya timu ili kuweza kufikia malengo ambayo yamepangwa.

Kiungo huyo mshambuliaji jina lake limetajwa mara mbili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye mashindano yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika.

Mara ya kwanza alitajwa yeye pamoja na beki Joash Onyango na mara ya pili alitajwa yeye pamoja na beki Mohamed Hussein.

Luis kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ametupia mabao mawili ilikuwa mbele ya Al Ahly pamoja na Al Merrikh na yote ilikuwa Uwanja wa Mkapa.

Kiungo huyo amesema:"Ni furaha kwangu kuwe kwenye kikosi bora na namna ambavyo ninatajwa inaongeza nguvu kwangu kufanya zaidi ya hapa na ninashukuru kwa sapoti ambayo ninapata, kazi inaendelea,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUIS: KAZI BADO INAENDELEA KIMATAIFA
LUIS: KAZI BADO INAENDELEA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjCsz-L4jSwUdVdRB-myfmsZv9kf1sPpyWU8o28FDcOs5_Qv2QaBkOZdaoSCJrxiHIuPZKH9cxErxK0-fcBNYBCiMGj9rIFO1LfI5uPubgoBindCM1tqrQNgJRipTye4rF3byiyM3wXHcg/w640-h436/Luis+na+kijiji.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjCsz-L4jSwUdVdRB-myfmsZv9kf1sPpyWU8o28FDcOs5_Qv2QaBkOZdaoSCJrxiHIuPZKH9cxErxK0-fcBNYBCiMGj9rIFO1LfI5uPubgoBindCM1tqrQNgJRipTye4rF3byiyM3wXHcg/s72-w640-c-h436/Luis+na+kijiji.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/luis-kazi-bado-inaendelea-kimataifa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/luis-kazi-bado-inaendelea-kimataifa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy