Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Sekta Binafsi Na Taasisi Za Dini
HomeHabari

Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Sekta Binafsi Na Taasisi Za Dini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini mchango wa Sekta Binafsi na Taasisi za Dini likiwemo kanisa Katoliki katika ...

Rais Samia Arejea Kutoka Glasgow, nchini Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa
Kenya yafunga mpaka wake na Ethiopia huku mapigano yakiendelea Tigray
Kesi Ya Lengai Ole Sabaya Yakwama Tena


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini mchango wa Sekta Binafsi na Taasisi za Dini likiwemo kanisa Katoliki katika kuimarisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii nchini.

Ametoa kauli hiyo jana (Jumapili Julai 4, 2021) alipomuwakilisha Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakafu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bunda, Askofu Simon Chibuga Masondole. Ibada hiyo imefanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu Bunda, Mkoani Mara.

Amesema kuwa Serikali kwa upande wake itaendelea kushirikiana na madhehebu ya dini katika kutoa huduma hizo kwa Watanzania wote bila ubaguzi wa aina yoyote.

"Upo usemi usemao “Kama unataka kwenda haraka tembea peke yako, lakini kama unataka kwenda mbali tembea na wenzako”. Sisi wote tuna imani kubwa nawe kuwa utaendeleza mashirikiano mazuri yaliyopo baina ya Serikali na Kanisa"

Aidha, Waziri Mkuu amewataka Watanzania kutumia nyumba za ibada kuliombea Taifa ili waendelee kuishi kwa amani, upendo na mshikamano.

"Amani tuliyo nayo, ndiyo chachu kubwa ya kufikia mafanikio ya maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi"

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi amesema wataendelea kutoa ushirikiano usio na mashaka kwa askofu mteule na Kanisa Katoliki kwa kuwa wanatambua mchango wa Kanisa hilo katika mkoa wa Mara.

(Mwisho)
IMATOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Sekta Binafsi Na Taasisi Za Dini
Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Sekta Binafsi Na Taasisi Za Dini
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhI4YFKMvFN5xaMlJwTVl_4vumMBYgYrn0mJqtMuZ4KIzqzW3qtLzZQROsuGXqhbvQepL_FI1QmQaHSjn0PZG8D75yqIP8vyBlDKprXQyTHkBmXo_3z6K2JsVUdrkMxLAWF9sHAf5FuCDtZ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhI4YFKMvFN5xaMlJwTVl_4vumMBYgYrn0mJqtMuZ4KIzqzW3qtLzZQROsuGXqhbvQepL_FI1QmQaHSjn0PZG8D75yqIP8vyBlDKprXQyTHkBmXo_3z6K2JsVUdrkMxLAWF9sHAf5FuCDtZ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majaliwa-serikali-inathamini-mchango-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majaliwa-serikali-inathamini-mchango-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy