BREAKING: D ILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Her itier Makambo limekamilika ambapo leo ametabulshwa r...
BREAKING: DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo ametabulshwa rasmi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.
Makambo ni kati ya wachezaji waliokuwa kwenye mipango ya kusajiliwa na Yanga katika usajili wa msimu huu katika kuisuka safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.
Nyota huyo anaijua sera ya Yanga kwa kuwa alisepa hapo msimu wa 2018/2019.
Mshambuliaji huyo amepewa dili la miaka miwili ndani ya Yanga.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS