Dakika ya 58 Dikson Daud anaokoa mpira kufanya iwe kona Dakika ya 55, kibendera anaonyesha mpira urushwe kwenda Mtibwa Sugar, mwamuz...
Kipindi cha pili kimeanza
Uwanja wa Mkapa
Mapumziko, Uwanja wa Mkapa
Yanga 0-0 Mtibwa Sugar
Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 45 Mtibwa Sugar wanapata faulo
Dakika ya 44 Nchimbi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kessy
Dakika ya 42 Mshery anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 39 Mchezaji wa Mtibwa Sugar anatolewa akiwa amebebwa Kwenye machela
Dakika ya 37 Fei Toto anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda juu ya langi
Dakika ya 35 Mshery anaokoa hatari,Yanga wanapiga kona inaokolewa
Dakika ya 29 Mtibwa Sugar wanakosa nafasi ya kufunga
Dakika ya 28 Mshery anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 25 Fei anachezewa faulo
Dakika ya 24 Mshery anaokoa mashambulizi
Dakika ya 20 Mtibwa Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 15 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mtibwa Sugar
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS