SIMBA WAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIMALIZA AS VITA LEO
HomeMichezo

SIMBA WAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIMALIZA AS VITA LEO

  IKIWA leo Februari 12, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, David Moyes itashuka Uwanja wa Mertedeys wa Congo kumenyana na Klabu ya AS Vita,...

NYOTA AZAM FC NJE WIKI SITA
MTAMBO WA MABAO YANGA WAFICHUA KINACHOMBEBA
NYOTA NANE WA SIMBA HATIHATI KUWAKOSA WAARABU

 IKIWA leo Februari 12, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, David Moyes itashuka Uwanja wa Mertedeys wa Congo kumenyana na Klabu ya AS Vita, wameweka wazi kuwa watashambulia na kujilinda kwa umakini.

AS Vita ni miongoni mwa timu bora ukanda wa Afrika ina ushindani mkubwa na Klabu ya TP Mazembe ambayo ilicheza na Simba kwenye Simba Super Cup na kulazimisha sare ya bila kufungana.

Tayari kikosi kimeshawasili Congo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea kwenye mchezo huo wa kwanza kwa Simba msimu wa 2020/21.

Akizugumza na Saleh Jembe, kocha msaidizi wa Simba Seleman Matola amesema kuwa wataingia kwa nidhamu huku wakishambulia kwa hesabu pamoja na kujilinda kwa umakini.

“Kila mchezaji yupo tayari na tunajua kazi ni ngumu kimataifa ila hatuna mashaka kutokana na kuwa na muda wa maandalizi pamoja na ushirikiano ambao upo ndani ya timu.

“Ushindi ni mbinu ili ushinde ni lazima ushambulie hivyo tutashambulia kwa hesabu pia ni lazima tulinde lango letu ili liwe salama kwa kuwa ugenini inabaki kuwa ugenini,” amesema Matola.

Jana kikosi kimefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa leo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na ingizo jipya Junior Lokosa, Jonas Mkude,Said Ndemla, Erasto Nyoni.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA WAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIMALIZA AS VITA LEO
SIMBA WAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIMALIZA AS VITA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYUwpf2UFS06TXoE6xi3HgZpcz4sVkW_kBJezRfZmGypJlN36Fa6jYXAKW-i6CjAYhWDqudnCDLrhUjg3su802WJkDleC5nbRPA7Cp1tUswIisyj32P_5jepn981-nG38aeDEmoElZkJnM/w640-h636/Lokosa+Congo.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYUwpf2UFS06TXoE6xi3HgZpcz4sVkW_kBJezRfZmGypJlN36Fa6jYXAKW-i6CjAYhWDqudnCDLrhUjg3su802WJkDleC5nbRPA7Cp1tUswIisyj32P_5jepn981-nG38aeDEmoElZkJnM/s72-w640-c-h636/Lokosa+Congo.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-wafichua-mbinu-watakayotumia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-wafichua-mbinu-watakayotumia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy