GSM atangaza rasmi kinywaji kipya, Yanga SC apata Shavu la kukitangaza…
HomeHabariTop Stories

GSM atangaza rasmi kinywaji kipya, Yanga SC apata Shavu la kukitangaza…

Ni July 30, 2024 ambapo GSM Group of Companies leo wanayofuraha ya kupanua wigo wa mahusiano na Klabu ya Yanga ambapo wametangaza rasmi kamp...

Usitishaji vita wa Gaza lazima uhusishe uondokaji kamili wa Israel – Hamas
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2024
Mwenyekiti UWT akemea vikali vitendo vya ulawiti na ubakaji kwa watoto

Ni July 30, 2024 ambapo GSM Group of Companies leo wanayofuraha ya kupanua wigo wa mahusiano na Klabu ya Yanga ambapo wametangaza rasmi kampuni yao mpya ya vinywaji ya GSM kuingia mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo.

“Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC, tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM Group

“Tunashukuru sana Uongozi wa GSM Group kwa kutambua umuhimu wa kuongeza nguvu ya udhamini kwa klabu yetu, Kampuni hii ya vinywaji visivyo na kileo kama juisi, soda na maji itakuwa sehemu ya wadhamini wetu kwa kipindi hicho cha miaka mitano” Simon Patrick – Mkurugenzi wa Sheria wa Klabu ya Yanga SC

.

Aidha Mkurugenzi wa Sheria Klabu ya Yanga SC, Simoni Patrick amesema ….“Leo tumekuja hapa kuwatangazia wadhamini wetu kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi, mdhamini mkuu wa wiki ya mwananchi ni benki ya CRDB, hata hivyo tumeongeza washirika wengine ni Benki ya Equity pamoja na GSM Beverage”

 

The post GSM atangaza rasmi kinywaji kipya, Yanga SC apata Shavu la kukitangaza… first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/rdQLOX4
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GSM atangaza rasmi kinywaji kipya, Yanga SC apata Shavu la kukitangaza…
GSM atangaza rasmi kinywaji kipya, Yanga SC apata Shavu la kukitangaza…
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/07/Snapinsta.app_453629535_18331035448135476_8399694911499971756_n_1080-950x950.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/gsm-atangaza-rasmi-kinywaji-kipya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/gsm-atangaza-rasmi-kinywaji-kipya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy