NYOTA NAMUNGO WALIOACHWA ANGOLA WATUMA SALAMU
HomeMichezo

NYOTA NAMUNGO WALIOACHWA ANGOLA WATUMA SALAMU

KUELEKEA mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Desportivo 1o de Agosto utakaopigwa leo katika dimba l...

JAMAA HUYU ANAHITAJI USHAURI BAADA YA KUVURUGWA NA MKEWE
SAFARI YA KUVUTIA NDANI YA CIRCUS FEVER DELUXE
VIDEO:YANGA YAOMBA KUCHEZA NA SIMBA, MOROCCO

KUELEKEA mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Desportivo 1o de Agosto utakaopigwa leo katika dimba la Azam Complex Chamazi, nyota wa Namungo walioachwa nchini Angola wametuma salamu wakiiombea timu hiyo ushindi.

Nyota hao ambao ni Lucas Kikoti, Hamis Mgunya, Fredi Tangaru na Ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu, Omary Kaaya walilazimika kubaki nchini Angola kutokana na mamlaka za nchi hiyo kusema walikuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Akizungumzia hali za nyota hao, kocha mkuu wa Namungo, Hemmed Morocco amesema: “Kuelekea mchezo wetu wa leo dhidi ya wapinzani wetu 1de Agosto kutoka Angola, nyota wetu waliosalia nchini Angola, wametutumia salamu za kheri na kutuombea ushindi.

"Kuhusu hali zao wote wametuhakikishia kuwa wapo salama, na wanatamani kurejea hata leo lakini inabidi wasubiri mamlaka za nchi hiyo ziwape ruhusa,” 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA NAMUNGO WALIOACHWA ANGOLA WATUMA SALAMU
NYOTA NAMUNGO WALIOACHWA ANGOLA WATUMA SALAMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLTSQ1i7oo63-Wclvr4NK9xGwJMqZPwrM9n5DCMFedM7w1bpCatB2ZAmKtuNI6QpRj194iCVP_JPXFVdM8udgJW2waGbKxwmMfnHHUttRE6DLsXaSBswCjUB5XBqc2e0V4bQ9lVRNx17s/w506-h640/KIKOT.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLTSQ1i7oo63-Wclvr4NK9xGwJMqZPwrM9n5DCMFedM7w1bpCatB2ZAmKtuNI6QpRj194iCVP_JPXFVdM8udgJW2waGbKxwmMfnHHUttRE6DLsXaSBswCjUB5XBqc2e0V4bQ9lVRNx17s/s72-w506-c-h640/KIKOT.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-namungo-walioachwa-angola-watuma.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-namungo-walioachwa-angola-watuma.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy