Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha
HomeHabariTop Stories

Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha

Tanzania inatarajia kuzindua Tuzo za Kitaifa za Utalii na Uhifadhi Desemba 20, 2024, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuenzi mchango wa wadau w...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 4, 2024
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 3, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 3, 2024

Tanzania inatarajia kuzindua Tuzo za Kitaifa za Utalii na Uhifadhi Desemba 20, 2024, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuenzi mchango wa wadau wa sekta hizo.

Rais Samia Suluhu Hassan atatunukiwa tuzo ya heshima kwa mchango wake kupitia filamu za Royal Tour na Amazing Tanzania. Dk. Louis Leakey na Mary Leakey pia watatuzwa kwa uvumbuzi wa fuvu la Zinjanthropus na nyayo za Laitori ambazo zimeendelea kuvutia maelfu ya watalii.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, amesema tuzo hizo zitatolewa kila mwaka kwa lengo la kuimarisha utalii na uhifadhi nchini.

Mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiongozana na viongozi mbalimbali wa serikali na wadau wa utalli.

Burudani kutoka kwa wasanii kama Weusi, Frida Amani, na vikundi vya India na China zitaongeza mvuto wa tukio hilo.

Tuzo hizi ni ishara ya kuthamini sekta zinazochangia pato la Taifa kupitia fedha za kigeni.

The post Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/aAXgtu7
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha
Rais Samia na Dr. Leakey kutunukiwa Tuzo Arusha
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG_2247-950x634.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/rais-samia-na-dr-leakey-kutunukiwa-tuzo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/rais-samia-na-dr-leakey-kutunukiwa-tuzo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy