MWADUI FC: WACHEZAJI WA SIMBA WANGEKUWA KWETU TUNGESHINDA
HomeMichezo

MWADUI FC: WACHEZAJI WA SIMBA WANGEKUWA KWETU TUNGESHINDA

 SALHINA Mjengwa, Kocha Mkuu wa Mwadui FC amesema kuwa laiti kama wachezaji wa Simba wangekuwa upande wake basi ingekuwa rahisi kushinda m...


 SALHINA Mjengwa, Kocha Mkuu wa Mwadui FC amesema kuwa laiti kama wachezaji wa Simba wangekuwa upande wake basi ingekuwa rahisi kushinda mchezo wa jana Aprili 18 mbele ya Simba.

Mwadui FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 16 ilipoteza mbele ya Simba kwa kufungwa bao 1-0 na kuwafanya waziache pointi sita jumlajumla kwa wapinzani hao msimu huu wa 2020/21.

Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru ubao ulisoma Simba 5-0 Mwadui na jana pia walipoteza kwa bao la ushindi lililofungwa na nahodha mzawa, John Bocco.

Mjengwa amesema kuwa:"Laiti kama wachezaji wa Simba wangekuwa upande wangu nina amini kwamba nasi tungeshinda ila tumeshindwa kupata matokeo kutokana na uzoefu.

"Wachezaji walikuwa wanatengeneza nafasi ikawa ni ngumu kuzibadili kuwa goli, bado tuna mechi mbele nina amini kwamba makosa tutayafanyia kazi," amesema.

Baada ya Simba kusepa na pointi tatu inafikisha jumla ya pointi 52 ikiwa nafasi ya pili na imecheza mechi 22, kinara ni Yanga mwenye pointi 54 baada ya kucheza mechi 25.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWADUI FC: WACHEZAJI WA SIMBA WANGEKUWA KWETU TUNGESHINDA
MWADUI FC: WACHEZAJI WA SIMBA WANGEKUWA KWETU TUNGESHINDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiek_5zQcL9cDJCy5hkwN872jbiT7exgTamAoYFRVO8QkWdT7kJkTnuowqAPd1LLgWRE0Dmb_pDNTQ3J4UXwbG-YjbtGPiMQAMlWOe3OjzFaKlDVFSbSBy9omVXn8sdDjA24E4iwdBHkj2L/w640-h452/Chama+na+Mwadui.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiek_5zQcL9cDJCy5hkwN872jbiT7exgTamAoYFRVO8QkWdT7kJkTnuowqAPd1LLgWRE0Dmb_pDNTQ3J4UXwbG-YjbtGPiMQAMlWOe3OjzFaKlDVFSbSBy9omVXn8sdDjA24E4iwdBHkj2L/s72-w640-c-h452/Chama+na+Mwadui.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwadui-fc-wachezaji-wa-simba-wangekuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwadui-fc-wachezaji-wa-simba-wangekuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy