AZAM FC WATAJA SABABU YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TANZANIA PRISONS
HomeMichezo

AZAM FC WATAJA SABABU YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TANZANIA PRISONS

  VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa ilikuwa ngumu kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons kwa kuwa ulikuwa ...

 


VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa ilikuwa ngumu kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons kwa kuwa ulikuwa ni mchezo wa nguvu nyingi mwanzo mwisho.

Jana, Februari 22 Azam FC ililazimisha sare ya bila kufungana ikiwa ndani ya Azam Complex na kuwafanya wagawane pointi mojamoja kwenye mchezo wa ligi.

Mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela,  Azam FC ilishinda bao 1-0 lilipachikwa na Prince Dube mwenye mabao 7 akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya Azam FC.

 Matokeo hayo yanaifanya Azam FC iliyocheza mechi 21 kufikisha jumla ya pointi 37 ikiwa nafasi ya tatu na Prisons ipo nafasi ya 8 na pointi zake ni 26 ikiwa imecheza mechi 20.

Bahati amesema:"Ulikuwa ni mchezo wa kutumia nguvu kubwa mwanzo mwisho jambo ambalo liliwafanya wachezaji wawe kwenye kasi hiyo muda wote.

"Licha ya kutengeneza nafasi ilikuwa ngumu kuzitumia kwa kuwa muda ambao unafika eneo la tukio tayari wapinzani wamefika, kipindi cha kwanza tulianza vizuri ila kipindi cha pili tukaamua kuongeza washambuliaji ili kubadili mbinu ila haikuwa bahati yetu.

"Bado tuna muda wa kufanya maboresho kwenye mechi zetu zijazo na tunaamini kwamba tutafanya vizuri kwa ajili ya mechi zetu zijazo," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC WATAJA SABABU YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TANZANIA PRISONS
AZAM FC WATAJA SABABU YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TANZANIA PRISONS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPOoiJXol6ZBdIatOo24GBRRIvgq0ZnKa_AHXloYLT_1yQkbb8Tkter6vFjtWiE2GVF6ORCHPxM5LVV4b3XtecT_LX_dA5pqwu3Sot9fRbhvPLK4vEq3r2mDr4B5uUxzwWi_oKL2Q_F7o7/w640-h640/IMG_20210223_072248_838.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPOoiJXol6ZBdIatOo24GBRRIvgq0ZnKa_AHXloYLT_1yQkbb8Tkter6vFjtWiE2GVF6ORCHPxM5LVV4b3XtecT_LX_dA5pqwu3Sot9fRbhvPLK4vEq3r2mDr4B5uUxzwWi_oKL2Q_F7o7/s72-w640-c-h640/IMG_20210223_072248_838.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-wataja-sababu-ya-kugawana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-wataja-sababu-ya-kugawana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy