SIMBA YAPEWA MBINU KUIMALIZA AL AHLY, WACHEZAJI WAONYWA
HomeMichezo

SIMBA YAPEWA MBINU KUIMALIZA AL AHLY, WACHEZAJI WAONYWA

 FRANCIS  Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United, amesema kikosi cha Simba kina uwezo wa kupata matokeo chanya mbele ya Al Ahly ikiwa watac...


 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United, amesema kikosi cha Simba kina uwezo wa kupata matokeo chanya mbele ya Al Ahly ikiwa watacheza kwa nidhamu na utulivu mkubwa.

 Leo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly ya Misri.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni na mashabiki 30,000 watapata fursa ya kushuhudia ndani ya Uwanja wa Mkapa ikiwa ni kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika,(Caf) kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona.



Baraza amesema:-“Simba wameanza vizuri na wanaweza kupata matokeo chanya kwenye mechi za kimataifa, ila lazima waongeze nidhamu ndani ya uwanja na kupunguza makosa yasiyo ya lazima hasa kwa mabeki pamoja na viungo.

 

“Ikiwa watakuwa wanaruhusu makosa iwe ndani ya 18 ama karibu na 18 ni hatari kwao kwa kuwa wapinzani wao wanaweza kutumia kila nafasi na kugeuza kuwa bao, hapo umakini unahitaji,” alisema Baraza ambaye aliweka wazi kuwa wachezaji wa Simba wana tabia ya kupoteza muda.


Mchezo wa kwanza Simba ilishinda kwa bao 1-0 dhidi ya AS Vita ugenini inakutana na Al Ahly ambayo imetoka kushinda mabao 3-0 dhidi ya Al Merrikh hivyo Al Ahly wanaongoza kundi A wakiwa na pointi tatu sawa na Simba wakitofautiana kwa idadi ya mabao.


Bao la ushindi kwa Simba lilifungwa na Chris Mugalu kwa mkwaju wa penalti baada ya Luis Miquissone kumnawisha mchezaji wa AS Vita ndani ya 18.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAPEWA MBINU KUIMALIZA AL AHLY, WACHEZAJI WAONYWA
SIMBA YAPEWA MBINU KUIMALIZA AL AHLY, WACHEZAJI WAONYWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixjnEU5pNk_jQHM58R4UcoCdsdfVMqD67RXJfUD3N_e0kW5ZP8w7jcBTq6UyYYJtPaZuKHw0mbvl_u2VaII0zL0fB8n_OR3sJ1cQD_PfnA8Syfbbb3xJv-wSpD6hkyFQiFfap0dYbZaOx3/w640-h640/Mugalu+Mkapa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixjnEU5pNk_jQHM58R4UcoCdsdfVMqD67RXJfUD3N_e0kW5ZP8w7jcBTq6UyYYJtPaZuKHw0mbvl_u2VaII0zL0fB8n_OR3sJ1cQD_PfnA8Syfbbb3xJv-wSpD6hkyFQiFfap0dYbZaOx3/s72-w640-c-h640/Mugalu+Mkapa.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yapewa-mbinu-kuimaliza-al-ahly.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yapewa-mbinu-kuimaliza-al-ahly.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy