MWALIMU KASHASHA:CARLINHOS ANA UWEZO BINAFSI,MTIBWA WALIZIDIWA KIDOGO
HomeMichezo

MWALIMU KASHASHA:CARLINHOS ANA UWEZO BINAFSI,MTIBWA WALIZIDIWA KIDOGO

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Alex Kashasha, maarufu kwa jina la Mwalimu Kashasha amesema kuwa wachezaji wa Yanga waliamua matoke...

JESSE LINGARD ATAJWA KUIBUKIA ATLETICO MADRID
MEDDIE KAGERE AFUNGA BAADA YA SAA 2,184
VITA YA KUSHUKA DARAJA, RATIBA KAMILI HII HAPA

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Alex Kashasha, maarufu kwa jina la Mwalimu Kashasha amesema kuwa wachezaji wa Yanga waliamua matokeo kwa mabadiliko ya kiufundi na kimbinu yaliyofanywa na mwalimu Cedric Kaze.

Yanga ilishinda bao 1-0 lilipachikwa na Carlos Carlinhos, raia wa Angola ambaye alitokea benchi na kubadili matokeo ndani ya dakika mbili ambazo alizitumia.

Kashasha amesema kuwa uwezo binafsi wa wachezaji wa Yanga ikiwa ni pamoja na Muangala huyo jambo ambalo liliwafanya Mtibwa Sugar wasiwe na chaguo ndani ya Uwanja wa Mkapa kwa kuwa walizidiwa kidogo.

"Ukitazama mchezo kiujumla timu zote zilikuwa zinacheza mfumo mmoja, sasa Yanga wao waliamua kuwazidi kwenye upande wa spidi jambo ambalo liliwatesa wapinzani wao.

"Kwa upande wa Mtibwa Sugar mbinu zao zilikuwa bora na imara ila walikuwa na mshambuliaji mmoja mbele jambo ambao liliwapa wakati mgumu kuweza kupata matokeo.

"Ukweli ni kwamba ligi ya Tanzania wengi wanafikiria ni nyepesi ila ni ngumu na ina ushindani mkubwa kikubwa ni kila mmoja kupambana kufikia malengo ambayo amejiwekea," amesema.

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 49 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Mtibwa Sugar ikiwa imebaki na pointi zake 23.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWALIMU KASHASHA:CARLINHOS ANA UWEZO BINAFSI,MTIBWA WALIZIDIWA KIDOGO
MWALIMU KASHASHA:CARLINHOS ANA UWEZO BINAFSI,MTIBWA WALIZIDIWA KIDOGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_tUSsoAuWnttQo1ycxZLhCZhuzPxybXVgVoxe2frWZ8IZkri2GM5mKfMi_AcNg2n8n2nm6mbn1UYU9mumpn7Z_oxMlHWzPWgACJlcveSWZRiht-yCr-uoBBp54fXSUMTZ-d2p0YEpdr5E/w640-h588/Muangola+na+Kaseke.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_tUSsoAuWnttQo1ycxZLhCZhuzPxybXVgVoxe2frWZ8IZkri2GM5mKfMi_AcNg2n8n2nm6mbn1UYU9mumpn7Z_oxMlHWzPWgACJlcveSWZRiht-yCr-uoBBp54fXSUMTZ-d2p0YEpdr5E/s72-w640-c-h588/Muangola+na+Kaseke.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mwalimu-kashashacarlinhos-ana-uwezo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mwalimu-kashashacarlinhos-ana-uwezo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy