MEDDIE KAGERE AFUNGA BAADA YA SAA 2,184
HomeMichezo

MEDDIE KAGERE AFUNGA BAADA YA SAA 2,184

  MSHAMBULIAJI namba tatu kwa utupiaji ndani ya Klabu ya Simba, Meddie  Kagere  ametupia bao lake la 12 baada ya kupitisha jumla ya siku 9...


 MSHAMBULIAJI namba tatu kwa utupiaji ndani ya Klabu ya Simba, Meddie Kagere ametupia bao lake la 12 baada ya kupitisha jumla ya siku 91 bila ya kufunga.

Namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi cha Simba ni John Bocco mwenye mabao 15 anafuatiwa na Chris Mugalu mwenye mabao 13 kwa msimu wa 2020/21 ambapo Simba ni mabingwa wa ligi.

Mara ya mwisho nyota huyo kufunga ilikuwa ni Aprili 14  Uwanja wa Mkapa wakati Simba ikishinda mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na alitupia mabao mawili kwa miguu yote miwili ule wa kulia pamoja na wa kushoto.

Nyota huyo aliweza kuyeyusha siku 91 ambazo ni sawa na saa 2,184 bila ya kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara licha ya Simba kupata nafasi ya kucheza mechi za ligi ilikuwa dhidi ya Mwadui FC, Kagera Sugar,Gwambina,Dodoma Jiji,Namungo, Ruvu Shooting,Polisi Tanzania, Mbeya City,Yanga, KMC na Coastal Union.

Nyota huyo aliibukia Uwanja wa Azam Complex, Julai 15 zikiwa zimepita siku 91 na kuweza kufunga bao mbele ya Azam FC na timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.

 
 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MEDDIE KAGERE AFUNGA BAADA YA SAA 2,184
MEDDIE KAGERE AFUNGA BAADA YA SAA 2,184
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWRNZTgIbI2Ejd4-7207ICzAmbzfWudf7gw95cD-yy37mRLdq0RCdPN_2rsWw3D-k8cG5x6JLVtIVBT0DyiLk4c4gBufuQ1LKltBgtUhC590u8f2gzmEhg76m0CaVSbHKqY5atXqz-EHv_/w640-h640/Kagere+Medi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWRNZTgIbI2Ejd4-7207ICzAmbzfWudf7gw95cD-yy37mRLdq0RCdPN_2rsWw3D-k8cG5x6JLVtIVBT0DyiLk4c4gBufuQ1LKltBgtUhC590u8f2gzmEhg76m0CaVSbHKqY5atXqz-EHv_/s72-w640-c-h640/Kagere+Medi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/meddie-kagere-afunga-baada-ya-saa-2184.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/meddie-kagere-afunga-baada-ya-saa-2184.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy