JESSE LINGARD ATAJWA KUIBUKIA ATLETICO MADRID
HomeMichezo

JESSE LINGARD ATAJWA KUIBUKIA ATLETICO MADRID

  M SHAMBULIAJI wa  Manchester United,  Jesse Lingard  anawindwa  na timu ya Atletico  Madrid, na kuna  uwezekano  mkubwa timu  hiyo ikamu...


 MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Jesse Lingard anawindwa na timu ya Atletico Madrid, na kuna uwezekano mkubwa timu hiyo ikamuuza.

 

Kinda huyo alifanikiwa kuonyesha kiwango cha juu akiwa na West Ham msimu uliopita, na aliaminika kuwa anaweza kubaki kwenye timu hiyo lakini United wamegoma.


Wamepeleka ofa ya kumtaka mchezaji huyo mwenye uwezo wa juu wa kufunga mabao, wakiwa wanaamini kuwa anaweza kuwasaidia msimu ujao.

 

Timu hiyo chini ya kocha Diego Simeone imepeleka ofa mara mbili kwa ajili ya mchezaji huyo, ambaye pia amepelekewa ofa ya West Ham.

 

United wanataka kitita cha pauni milioni 15 kwa ajili ya mchezaji huyo, lakini tayari Atletico wamepeleka ofa ya milioni 10, huku West Ham wakiishia milioni 8.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JESSE LINGARD ATAJWA KUIBUKIA ATLETICO MADRID
JESSE LINGARD ATAJWA KUIBUKIA ATLETICO MADRID
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKwuAoWaOwqLMl4rtPAgSho4Gm5Rlrl-6OjuO0z-1tKpXsEKwlYCX6jx2bZx18ywtzv0Sww4tjKPqpG_2hVTuPOLex-30ZpjOz1j0gmsMbaI7ZbV9PuJKM8KUIEWJxB3t5fZXvB6G7EAg9/w640-h426/Lingard.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKwuAoWaOwqLMl4rtPAgSho4Gm5Rlrl-6OjuO0z-1tKpXsEKwlYCX6jx2bZx18ywtzv0Sww4tjKPqpG_2hVTuPOLex-30ZpjOz1j0gmsMbaI7ZbV9PuJKM8KUIEWJxB3t5fZXvB6G7EAg9/s72-w640-c-h426/Lingard.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/jesse-lingard-atajwa-kuibukia-atletico.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/jesse-lingard-atajwa-kuibukia-atletico.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy