Bei ya Dizeli, Petroli Yapanda
HomeHabari

Bei ya Dizeli, Petroli Yapanda

Bei ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Mei, iliyokuwa kubwa zaidi katika historia ya Tanzania kiasi cha kuilazimu Serika...


Bei ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Mei, iliyokuwa kubwa zaidi katika historia ya Tanzania kiasi cha kuilazimu Serikali kutoa ruzuku.

Mei, bei ya petroli ilifika Sh3,148 jijini Dar es Salaam ikipanda kwa Sh287 kutoka Aprili kwa kila lita moja huku dizeli ikipanda kwa Sh566 kutoka Sh2,692 hadi Sh3,258 katika kipindi hicho.

Katika taarifa iliyotolewa  Jumanne Julai 5, 2022 na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), bei ya rejareja jijini Dar es Salaam itakuwa Sh3,220 kwa lita moja ya petroli na Sh3,143 kwa dizeli huku mafuta ya taa yakifika Sh3,442.

Maumivu yatakuwa makali mkoani Kagera hasa katika Wilaya ya Kyerwa ambako lita moja ya petroli itauzwa Sh3,458 na dizeli Sh3,381 na mafuta ya taa ni Sh3,679.

Ewura imesema bei hizo mpya ambazo zitaanza kutumika kesho Jumatano zimejumuisha ruzuku ya Sh100 bilioni iliyotolewa na Serikali vinginevyo, lita ya petroliingeuzwa Sh3,497 na dizeli Sh3,510 jijini Dar es Salaam wakati Kyerwa ingekuwa Sh3,735 kwa petrol na Sh3,748 kwa dizeli. Mafuta ya taa hayana ruzuku.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bei ya Dizeli, Petroli Yapanda
Bei ya Dizeli, Petroli Yapanda
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikNE8aDIWzbqNCqNeuOxvj4ZnMwhQdWHMkMzeIISyAjyBGqGzGeR_WJOsmO4K6d5ppB4rECvuSKEXG8wdKMzMG_dGSqiKN1diNPmNjkNkg4XebqKRkVgwLUm_a6GN4JcDVrKChI6kPuh-Xz5bJzvKEhyoL6KKDk25ef9YQy3u63ghUzqgKo2JqgD9b_w/s16000/images-1-2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikNE8aDIWzbqNCqNeuOxvj4ZnMwhQdWHMkMzeIISyAjyBGqGzGeR_WJOsmO4K6d5ppB4rECvuSKEXG8wdKMzMG_dGSqiKN1diNPmNjkNkg4XebqKRkVgwLUm_a6GN4JcDVrKChI6kPuh-Xz5bJzvKEhyoL6KKDk25ef9YQy3u63ghUzqgKo2JqgD9b_w/s72-c/images-1-2.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/bei-ya-dizeli-petroli-yapanda.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/bei-ya-dizeli-petroli-yapanda.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy