TAIFA STARS:TUTAPAMBANA MBELE YA GUINEA LEO
HomeMichezo

TAIFA STARS:TUTAPAMBANA MBELE YA GUINEA LEO

 JOHN Bocco, nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo kw...

MIFUMO MITATU ITAKAYOIBEBA YANGA,GOMES ASHUSHA MBADALA WA CHAMA,NI CHAMPIONI JUMATANO
RASMI, MESSI MALI YA PSG, AKABIDHIWA JEZI NO 30
BREAKING:YANGA YAMTAMBULISHA KIPA MWINGINE TENA

 JOHN Bocco, nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo kwenye michuano ya Chan nchini Cameroon.

Stars ipo kundi D ina pointi tatu baada ya kucheza mechi mbili, imeshinda moja kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namibia na imepoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Zambia kwenye mchezo wa ufunguzi.

Leo itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya vinara wa kundi hilo, Guinea ambao wana pointi nne baada ya kucheza mechi mbili ili iweze kutinga hatua ya robo fainali ni lazima ipate ushindi leo saa 4:00 usiku.

Bocco amesema:"Wachezaji wamekuwa na morali kubwa mazoezini na wanajua kwamba Watanzania wanahitaji ushindi hivyo watapambana ili kufanya vizuri.

"Kikubwa tunaamini kwamba mchezo utakuwa na ushindani mkubwa hilo lipo wazi ila tutapambana ili kupata matokeo chanya Watanzania watuombee ili tufanye vizuri," .

Bocco kuna hatihati ya kuukosa mchezo wa leo kwa kuwa yupo kwenye uangalizi maalumu wa jopo la madaktari pamoja na Ibrahim Ame ambaye ni beki.

Stars wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Bonamoussadi,Douala na mchezo wa mwisho wa Kundi D kwenye mashindano ya CHAN dhidi ya Guinea unatarajiwa kuchezwa leo Jumatano, Januari 27 saa 4 usiku Uwanja wa Reunification,Cameroon.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TAIFA STARS:TUTAPAMBANA MBELE YA GUINEA LEO
TAIFA STARS:TUTAPAMBANA MBELE YA GUINEA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDkSfogcZ1fU7p7P00uqN0m1AkbDt1xSr9627qaxlzOr1ghQDoZIYg4xt7TSyt4nBgsSkcURdyF51Z7goKD4_w-5DgxM77T4y2uDQUybyzHa43_YsNBlFroy55PtJxvAqfd27VTC6h1TM-/w640-h480/Manula+Stars.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDkSfogcZ1fU7p7P00uqN0m1AkbDt1xSr9627qaxlzOr1ghQDoZIYg4xt7TSyt4nBgsSkcURdyF51Z7goKD4_w-5DgxM77T4y2uDQUybyzHa43_YsNBlFroy55PtJxvAqfd27VTC6h1TM-/s72-w640-c-h480/Manula+Stars.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/taifa-starstutapambana-mbele-ya-guinea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/taifa-starstutapambana-mbele-ya-guinea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy