MANCHESTER UNITED YAHITAJI SAINI YA KANE
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED YAHITAJI SAINI YA KANE

  KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ole  Gunnar Solskajer amekiri kuwa  anahitaji kusajili straika (Harry  Kane), licha ya kumuongezea mka...

 


KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solskajer amekiri kuwa anahitaji kusajili straika (Harry Kane), licha ya kumuongezea mkataba Edinson Cavani.

 

Wiki hii, Harry Kane ametangaza kuwa anataka kuondoka ndani ya Tottenham kwenda kusaka changamoto mpya na kusaka mataji.

 

Man United, Man City na Chelsea ndiyo zinatajwa kuwania saini ya straika huyo. Solskajer alisema anahitaji kujenga kikosi chake kwa kuhakikisha anasajili straika.

 

“Unajua siwezi kuwazungumzia wachezaji wa timu nyingine (Kane) sababu sipaswi kufanya hivyo, ila nitasajili straika.


“Tunahitaji kuwa na kikosi imara na kilicho bora. Na tunatakiwa kuangalia vitu vingi mpaka kutengeneza aina ya kikosi hicho.

 

“Sisemi kuwa kama Edi (Cavani) anabaki hivyo siwezi sajili straika mwingine hapana. Edi amesaini, ila unajiuliza una mastraika wangapi ndani ya kikosi? Hivyo siwezi sema sitasajili straika wakati nataka kujenga kikosi bora.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED YAHITAJI SAINI YA KANE
MANCHESTER UNITED YAHITAJI SAINI YA KANE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFyYUHV1wAeYPJOQlq1I8VIyn4Dhrmz_wCCZ09EQHKYakQqu_gZWL7C-ul6_8L8zMpU-xnkruhd3G4_hhijLny8zIkuXBFX4Q3VDrjMgbt1elIWpvn2tTmAyUK4FMViwl1dqrtg58UOPZ/w640-h426/harry+hauzwi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFyYUHV1wAeYPJOQlq1I8VIyn4Dhrmz_wCCZ09EQHKYakQqu_gZWL7C-ul6_8L8zMpU-xnkruhd3G4_hhijLny8zIkuXBFX4Q3VDrjMgbt1elIWpvn2tTmAyUK4FMViwl1dqrtg58UOPZ/s72-w640-c-h426/harry+hauzwi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-yahitaji-saini-ya-kane.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-yahitaji-saini-ya-kane.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy