Msanii mkongwe hapa bongo Profesa Jay mwaka 2015 ameamua kutangaza nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mikumi kupitia Chadema...
Msanii mkongwe hapa bongo Profesa Jay mwaka 2015 ameamua kutangaza nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mikumi kupitia Chadema,Simple X na Black Rhyino ni wadogo wa Profesa Jay ambao Profesa Jay aliamua kuwafungulia njia kwa kuwashirikisha kwenye ngoma zake kisha akawaacha wakaendelea wenyewe akiongea na 255 ya clouds fm amesema alipo ulizwa.
Kwamba atakapofanikiwa kuwa Mbunge ana mipango ya kuwashika mkono wadogo
zake wengine ambao anaamini wanaweza hilo akasema Yeye hajaangalia
ndugu alionao yeye mipango yake ni kuwasaidia Watanzania wote kwa nafasi
zao.
COMMENTS