Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo
HomeHabariTop Stories

Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo

Ajali mbaya iliyohusisha Magari Mawili ikiwemo Gari la Abiria (Basi) lenye namba za usajili T. 963 DSR na Gari aina ya Kluger T. 425 DQE zim...

Ajali mbaya iliyohusisha Magari Mawili ikiwemo Gari la Abiria (Basi) lenye namba za usajili T. 963 DSR na Gari aina ya Kluger T. 425 DQE zimegongana uso kwa uso katika Kata ya Mponvu , Halmashauri ya Mji Geita na kupelekea Mtu 1 kufariki Dunia na wengine 10 kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo na wengine kujeruhiwa.

Kwa Mjibu wa Mashuhuda waliofika katika eneo la tukio wanasema Dereva mwenye Gari ndogo aina ya Kluger ndio aliyevunja sheria za Barabarani na kupelekea ajari hiyo ambapo kwa Mujibu wa Mashuhuda watu wamejeruhiwa.

Dkt.Thomas Mafulu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Halmashauri ya Mji Geita amethibitisha kifo cha Mtu mmoja na wengine 10 kujeruhiwa

Ayo tv inaendelea kulitafta Jeshi la Polisi katika kujua chanzo cha tukio hilo.

 

 

The post Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/gXFKc5f
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo
Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241117-WA0028-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/ajali-mbaya-yatokea-geita-usiku-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/ajali-mbaya-yatokea-geita-usiku-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy