Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata
HomeHabariTop Stories

Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata

Katika kuendelea kuweka Mazingira rafiki ya ufanyaji Kazi kwa watendaji wa Kata Halmshauri ya Mji Ifakara Wilaya ya Kilombero mkoani Morogor...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 15, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 15, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 14, 2024

Katika kuendelea kuweka Mazingira rafiki ya ufanyaji Kazi kwa watendaji wa Kata Halmshauri ya Mji Ifakara Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Mkurugenzi Mtendaji Halmashuri hiyo Bi. Zahara Michuzi ameacha kunununulia gari la kifahari lenye thamani zaidi ya shilingi Milioni 186 badala yake fedha hizo amebadili matumizi kwa kufuata taratibu na kununua pikipiki 19 Kwa ajili ya watendaji hao.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi pikipiki hizo Michuzi amesema ameona ni busara kuendelea kutumia gari alilonalo.ili fedha hizo zitumike matumizi mengine kama vile kununua pikipiki hizo.

Amesema pikipiki hizo zimegharimu zaidi ya Shilingi million 60 ambapo amesema lengo kuendelea kutafuta njia mbalimbali za kuwafikia wananchi Ili kutatua changamoto zao Kwa haraka.

Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Danstan Kyobya amewataka watendaji kutumia pikipiki hizo katika matumizi yaliyokusudiwa

Kyobya amesema mpango wa kuwapatia pikipiki watendaji wa kata ni mzuri Kwani unaleta hamasa ya utendandaji kazi huku akimpongeza Mkurugenzi Michuzi Kwa kuacha kununua gari na fedha kuelekeza kununua pikipiki hizo

Nao baadhi ya watendaji hao wamemshukuru Mkurugenzi Michuzi Kwa kuwanajali na kwamba pikipiki hizo watazitumia vizuri lakini pia zitawasaidia kuwafikia wananchi Kwa haraka.

Wamesema awali walikuwa wakitumia gharama kubwa katika Usafiri lakini Kwa Sasa watakuwa na uwezo wa kufuatilia miradi ya maendeleo kwa ufanisi zaidi.

 

  

The post Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/cFJykYf
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata
Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241118-WA0010-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/mkurugenzi-mji-ifakara-aacha-kununua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/mkurugenzi-mji-ifakara-aacha-kununua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy