Joh Makini akiwa jukwaani. Joh Makini akiwaburudisha mashibi wake. Joh Makini akiwapagawisha mashabiki. Makomandoo...

Joh Makini akiwa jukwaani.

Joh Makini akiwaburudisha mashibi wake.

Joh Makini akiwapagawisha mashabiki.

Makomandoo wakilitendea haki jukwaa.

Mmoja wa kati ya wacheza show wa MAkomandoo akionesha uwezo.

Makomandoo wakilitendea haki jukwaa.

Mmoja wa kati ya wacheza show wa MAkomandoo akionesha uwezo.

Mmoja wa kati ya wacheza show wa MAkomandoo akionesha umahiri wake.

Warriors from the east wakiwarusha mashabi kwa ragae.

Presenters wa Moshi Easter Bash walikuwa Babi D'e Conscious (kushoto) na Dulla Master Voice.

Somjo (kushoto) akihakikisha sound ipo sawa wakati wote.

HK na Gema nao waliwa ndani ya Moshi Easter Bash.

Julius Phijema, mkurugenzi wa Phijema video production akifuatilia burudani kwa umakini.

Mashabiki wa ukweli.
COMMENTS