BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO
HomeMatukio

BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO

  Watu 10 wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tan...

BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE! >>>Soma yote hapa
Maajabu mengine ya teknolojia ni kwenye hii gari.. ni ndogondogo na bado inaweza kujipunguza ukubwa.. (VIDEO)
JESHI LA POLISI TANZANIA WATOA TAHADHARI KWA WAENDESHA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA HALI YAMVUA INAVYOENDELEA KUONYESHA
 

Watu 10 wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5 asubuhi ya leo.
Akizungumza na Mwandishi wetu Kamanda wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga amesema kuwa ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ya abiria na gari dogo katika barabara ya Dar es salaa kwenda Tanga na Arusha.
Kwa mujibu wa Kamanda, gari dogo ilikuwa likitaka kulipita lori lililokua mbele yake na ndipo ilipogongana uso kwa uso na basi la Ratco lililokuwa likitokea Tanga kwenda Dar es salaam.
  
Baada ya Basi la Ratco kugonganana na gari dogo, lilipoteza mwelekeo na kugongana tena uso kwa uso na basi la Ngolika lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Arusha.
  
Aidha kamanda huyo amesema kuwa kati ya watu 10 waliofariki dunia wanaume watano wakiwemo dereva wa gari dogo na dereva wa basi la Ngorika pamoja na wanawake watano wakiwemo watoto wawili.
  
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi
 
 
 
 
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO
BREAKING NEWS: WATU 10 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA NGORIKA NA RATCO KUGONGANA USO KWA USO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAYUL6hz4WIuP4MGJIi9nscmWnu8n2t0a0qc_wqvu7qNTlckVE7dwZ0LhhDD9ixA_vxtFBHasoiPjzN8Xmhu1luj0JURAJ8dY_MDNOs954u8MttvSc5NTBUVm5pH_-WnwXsXo-okV3Z4NH/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAYUL6hz4WIuP4MGJIi9nscmWnu8n2t0a0qc_wqvu7qNTlckVE7dwZ0LhhDD9ixA_vxtFBHasoiPjzN8Xmhu1luj0JURAJ8dY_MDNOs954u8MttvSc5NTBUVm5pH_-WnwXsXo-okV3Z4NH/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/breaking-news-watu-10-wafariki-dunia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/04/breaking-news-watu-10-wafariki-dunia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy