Baada ya kimya kirefu sana cha Mwanamuziki Marlaw hatimae Elizabeth Michael "LULU" ameamua kutoa hisia zake kuhusu muziki wa M...
“Kwani tulikukosea nn kaka!???mbna ukatuonjesha na kutuondolea burudani tena!???i believe ur talented tena sio kidogo,sio kwa kwa kubana pua,sio kwa kusingiziwa pengine majukumu Ya ki kazi Au Ya kifamilia yamebana Lakini naamini u have something to offer the whl world….Rudi msaidiane kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn…!“
COMMENTS