Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC
HomeHabariKimataifa

Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya

Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwi...

Two police officers shot in Ferguson, Missouri, ambush
Hiki ndicho alichokisema Zlatan juu ya wachezaji wa Chelsea baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON

Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake katika kesi ya naibu wa rais katika mahakama hiyo.

Ripoti za vyombo vya habari nchini Kenya zinasema kuwa mwili wa Meshash Yebei ulipatikana
karibu na mto zaidi ya wiki moja baada ya kuonekana akibebwa na kuingizwa katika gari moja lisilo na nambari za usajili katika mji wa Eldoret,umbali wa kilomita 200.

Bwana Yebei alitarajiwa kusafiri kuelekea mjini Hague kwa kesi dhidi ya bwana Ruto-makamu wa rais ambaye anakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na mashambulizi dhidi ya watu wa jamii ya kikuyu katika makaazi ya wakalenjin huko Rift valley wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi miaka saba iliopita.
Chanzo >>>BBC
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya
Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/03/150103203238_icc_building_624x351_afp_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/shahidi-wa-icc-apatikana-ameuawa-kenya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/shahidi-wa-icc-apatikana-ameuawa-kenya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy