KMC WAPEWA MAPUMZIKO YA SIKU 8
HomeMichezo

KMC WAPEWA MAPUMZIKO YA SIKU 8

UONGOZI wa Klabu ya KMC FC umetoa mapumziko mafupi kwa wachezaji wake kuanzia Mei 17 na watapaswa kurejea kambini Mei 25. Kurejea kwao kam...


UONGOZI wa Klabu ya KMC FC umetoa mapumziko mafupi kwa wachezaji wake kuanzia Mei 17 na watapaswa kurejea kambini Mei 25.

Kurejea kwao kambini itakuwa ni kwa ajili ya kuendelea na maandalizi ya mchezo mwingine wa ligi ambao ni dhidi ya Dododma Jiji.

Taarifa rasmi kutoka kitengo cha habari cha KMC, kinachosimamiwa na Christina Mwangala imeeleza kuwa mapumziko hayo yametokana na KMC FC kutokuwa na mchezo wowote wa mashindano yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwezi mmoja.

 Kwa mujibu wa ratiba ya Bondi ya Ligi Tanzania, (TPLB) mchezo wao unaofuata wa ligi ni Juni 17 itakuwa dhidi ya Dodoa Jiji.

Aidha kufuatia mapumziko hayo, Kocha Mkuu John Simkoko pamoja na msaidizi wake Habibu Kondo wataweka utaratibu wa kufanya mazoezi pindi wachezaji watakaporejea kambini sambamba na kucheza mechi nyingi za kirafiki kwa lengo la kuendelea kujiimarisha na hivyo kufanya vizuri kwenye michezo iliyobakia.



“Tumetoka kupoteza mchezo muhimu dhidi ya Azam FC , lakini bado haitukatishi tamaa kuendelea kupambania nafasi ya nne, hivyo mapumziko haya ni maalumu kwa wachezaji wetu.

"Tukirudi kama timu uongozi kwa ujumla tutaendelea kuweka nguvu zaidi kwenye michezo yetu iliyobaki na hivyo kufanya vizuri ili mwisho wa siku tufikie malengo ambayo tumejiwekea," .

 KMC FC imecheza michezo 29 na kufikisha alama 41 ipo nafasi ya tano na imebakiwa na mechi tano mkononikukamilisha msimu wa  2020/2021, ambayo ni dhidi ya Dodoma Jiji, Mtibwa Sugar, JKT Tanzana , Simba pamoja na Ihefu.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC WAPEWA MAPUMZIKO YA SIKU 8
KMC WAPEWA MAPUMZIKO YA SIKU 8
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhY1efWaqtVp8oHn7f7HqCj3DZ_MOSekjJXrJcL1kGI9evwNoi6mJZTbunf6pxtEtLAybH61o9fjzDblYQW4mxGTI_Icp-F7-AozuCzh3Br15499JP_1g0XbzRZwFAvS4SK1hkvRWVjVdM6/w640-h426/IMG-20210518-WA0011.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhY1efWaqtVp8oHn7f7HqCj3DZ_MOSekjJXrJcL1kGI9evwNoi6mJZTbunf6pxtEtLAybH61o9fjzDblYQW4mxGTI_Icp-F7-AozuCzh3Br15499JP_1g0XbzRZwFAvS4SK1hkvRWVjVdM6/s72-w640-c-h426/IMG-20210518-WA0011.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmc-wapewa-mapumziko-ya-siku-8.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmc-wapewa-mapumziko-ya-siku-8.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy