MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON
HomeHabariKimataifa

MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard...




Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake kwenye mazungumzo ya kikazi na Mhe. James Duddridge, Waziri wa Masuala ya Afrika wa Uingereza mara baada ya kuwasili London Jumatano tarehe 11/03/2015.

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege Jijini London na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallaghe na Naibu Mkuu Mkuu wa Ubalozi Msafiri Marwa (wa pili kushoto) na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy.

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akiwa na Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola Mhe. Kamalesh Sharma kabla ya kuanza kikao cha faragha.



Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake wakiwa kwenye kikao cha kazi na Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola Mhe. Kamalesh Sharma Jumatano tarehe 11/03/2015.

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard Membe akiwa na Waziri wa Masuala ya Afrika wa Uingereza Mhe. James Duddridge baada ya kuwasili Jijini London kwa ajili ya kikao cha kazi cha Jumuiya ya Madola tarehe 11-12 Machi 2015.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON
MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA AWASILI MJINI LONDON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEic1ZmC2Z5Wn2Tqh8XDDvkJ1ZW7Nbpe3g42R4nMd34EipUXu88qM9eU3-xQV4-RvPGBc_EyiZZvWBk1Sf6QgsMVUcIWrFF20UvwoZLhyjqHhbR1ELGc2GTzi-byK0pQySPeUmg4HjFeUME/s1600/CMAG+11.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEic1ZmC2Z5Wn2Tqh8XDDvkJ1ZW7Nbpe3g42R4nMd34EipUXu88qM9eU3-xQV4-RvPGBc_EyiZZvWBk1Sf6QgsMVUcIWrFF20UvwoZLhyjqHhbR1ELGc2GTzi-byK0pQySPeUmg4HjFeUME/s72-c/CMAG+11.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mwenyekiti-wa-baraza-la-mawaziri-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mwenyekiti-wa-baraza-la-mawaziri-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy