Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku
HomeHabariTop Stories

Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehakikisha Kazi iliotakiwa kufanyika ndani ya wiki moja ya ukamilishaji wa Mradi wa Maji wa Buhongwa jijini...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 7, 2024
Uamuzi wa serikali kuwapa wafanyabiashara vibali vya uagizaji kulishusha bei ya sukari
Habari kubwa Magazetini Kenya leo July 6, 2024

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehakikisha Kazi iliotakiwa kufanyika ndani ya wiki moja ya ukamilishaji wa Mradi wa Maji wa Buhongwa jijini Mwanza ilitokiwa kukamilishwa mpaka ijumaa inafanyika ndani ya siku moja kwa kuamua kuweka kambi na mafundi site mpaka saa tano na nusu usiku.

Mradi wa dharula Buhongwa umekamilika usiku wa saa sita na Maji rasmi yamefika hapa Buhongwa Centre baada ya maunganisho ya bomba na kuwasha mtambo rasmi kusukuma maji.

 

Awali Waziri Aweso ameshuhidia maunganisho ya bomba ya mwisho ya mradi wa Sahwa Buhongwa ambao unalenga kutatua changamoto katika maeneo ya Sahwa, Lwanhima na Buhongwa.

 

Mara baada ya bomba la mwisho kuunganishwa saa 4.15 usiku alielekea katika kituo cha kusukuma maji Sahwa ili kuwasha pump ya maji kwa lengo la kusafisha bomba hilo.

 

Usiku huo huo Waziri Aweso amewakabidhi wenyeviti wa serikali za mitaa za Sahwa chini na Semba mabomba kwa ajili ya kusogeza maji katika maeneo yao.

Jumla ya vituo nane vya kuchota maji vitajengwa katika maeneo hayo na kunufaisha wananchi katika mitaa husika.

 

The post Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/t0wlIOR
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku
Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/09/IMG-20240909-WA0011-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/aweso-akamilisha-kazi-ya-wiki-kwa-siku.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/aweso-akamilisha-kazi-ya-wiki-kwa-siku.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy