SIMBA:YANGA WANAMNGA'NGA'NIA MORRISON
HomeMichezo

SIMBA:YANGA WANAMNGA'NGA'NIA MORRISON

  BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa  Simba amesema kuwa Yanga wanamnga'nga'nia mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison. Nyota ...

VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 


BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa  Simba amesema kuwa Yanga wanamnga'nga'nia mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison.

Nyota huyo ambaye alisaini dili la miaka miwili ndani ya Simba akitokea Klabu ya Yanga amekuwa kwenye mvutano na mabosi wake wa zamani hao kuhusu suala la mkataba wake.

Yanga wao wanaeleza kuwa nyota huyo ana mkataba wa miaka miwili ndani ya Yanga huku mchezaji mwenyewe akisema kuwa alisaini dili la miezi sita.

Sakata lake lilisikilizwa makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa muda wa siku tatu na mwisho wa siku waliamua kwamba mchezaji huyo ni huru kutokana na makosa ambayo yalikuwa kwenye mkataba wake.
 
Kutokana na matokeo hayo Yanga ilikata rufaa kwenye mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo,(CAS) ili kuweza kupata haki ya mchezaji wao.

Barbara amesema:"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi.

"Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi.

"Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio anamaisha yake hakusubiri. Achananae."

Chanzo:Clouds




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA:YANGA WANAMNGA'NGA'NIA MORRISON
SIMBA:YANGA WANAMNGA'NGA'NIA MORRISON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3kIJQjapefNmZY2jZI6UOSUQsVR9aDpdiZfuHoPYw8IrJTztvKkhKuyOmd_jjz2EgE6PW_Ck2TYZ1ajYeXOscjWIciFnGaB5soZAPagrCA9MDtvro0RyyU2ECdnMHYfcPU5DrTF8sKCPL/w640-h640/IMG_20210129_125634_704.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3kIJQjapefNmZY2jZI6UOSUQsVR9aDpdiZfuHoPYw8IrJTztvKkhKuyOmd_jjz2EgE6PW_Ck2TYZ1ajYeXOscjWIciFnGaB5soZAPagrCA9MDtvro0RyyU2ECdnMHYfcPU5DrTF8sKCPL/s72-w640-c-h640/IMG_20210129_125634_704.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/simbayanga-wanamngangania-morrison.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/simbayanga-wanamngangania-morrison.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy