HomeHabariTop Stories

Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa

Kamishna Jenerali Wa Mamlaka Ya Kudhibiti Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema mamlaka hiyo imeanza kufanya uchunguzi...

Kamishna Jenerali Wa Mamlaka Ya Kudhibiti Na Kupambana Na Dawa Za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema mamlaka hiyo imeanza kufanya uchunguzi wa dawa mpya za kulevya ikiwemo bangi ya kusindikwa aina ya Skanka inayodaiwa kutengenezwa nje ya nchi.

 

Lyimo amesema hilo jijini Dodoma wakati akizungumza na wamiliki wa nyumba za unafuu za waraibu wa dawa za kulevya (Sober House) ambapo amesema aina hiyo ya bangi akivuta mama mjamzito anaweza kupata mtoto mwenye udumavu, uzito pungufu na uwezo mdogo wa kufundishika.

 

“Hili la kuibuka kwa dawa mpya sisi tuna divisheni ya sayansi jinai na inawakemia waliobobea katika masuala ya maabara na kugundua dawa zote mpya za kulevya nchini na sasa hivi tumeanza uchunguzi wa kimaabara kuhusuana na Skanka hii kwasababu ni mojawapo ya dawa mpya awali Tanzania zilikuwa haziji watu walikuwa wamezoea bangi lakini hii bangi ya kusindika imeibuka hivi karibuni na inakemikali kubwa sana inaasilima 40 mpaka 60 ndio maana mtu akivuta anakuwa na ukichaa anavurugwa na akili na wengine wanafanya matendo ya ajabu wanabaka Watoto wadogo na kufanya mauwaji lakini pia inamagonjwa ya moyo” Aretas Lyimo

Katika hatua nyingine amewataka wadau na wamiliki wa nyumba za unafuu wa waraibu wa dawa za kulevya kuongeza idadi ya nyumba katika maeneo yenye upungufu ikiwemo wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga ambako idadi ya waraibu imeongezeka.

The post Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/v6m0ZuX
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini yaanza uchunguzi wa Skanka zinazodaiwa kusindikwa
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mamlaka-ya-kudhibiti-na-kupambana-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/09/mamlaka-ya-kudhibiti-na-kupambana-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy