Rais Miseveni awasili Tanzania
HomeHabariTop Stories

Rais Miseveni awasili Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe.  Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocen...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 16, 2024
Kamati ya kupinga ukatili wa kijinsia yalia ndoa nyingi kuvunjika na kusababisha ukatili kwa watoto.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 15, 2024

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe.  Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo tarehe 08 Februari 2025

Rais Museveni atashiriki Mkutano wa Dharura wa Pamoja Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika leo.

Jumuiya zote mbili zinakutana kwa pamoja kujadili kwa lengo la kupatia ufumbuzi hali ya ulinzi na usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

 

The post Rais Miseveni awasili Tanzania first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/1fxvpLD
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Miseveni awasili Tanzania
Rais Miseveni awasili Tanzania
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/02/IMG-20250208-WA0028-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/rais-miseveni-awasili-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/02/rais-miseveni-awasili-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy