Jeshi la Ukraine lakiri askari wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severodonetsk
HomeHabari

Jeshi la Ukraine lakiri askari wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severodonetsk

  Jeshi la Ukraine limesema,wanajeshi wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severedonetsk, mji ambao kwa wiki kadhaa sasa unakabiliwa na m...

Waziri Mkuu Azindua Filamu ya The Royal Tour Ruangwa ....Aagiza kuibuliwa kwa fursa za utalii ili kunufaika na watalii wanaoingia nchini
Dkt Stergomena: Endelezeni Utii, Weledi Na Uaminifu Kazini
Ubalozi Wa Tanzania Nchini Ufaransa,wadau Sekta Ya Utalii Wakutana Kuzindua Royal Tour

 


Jeshi la Ukraine limesema,wanajeshi wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severedonetsk, mji ambao kwa wiki kadhaa sasa unakabiliwa na mashambulizi ya Urusi katika eneo la mashariki mwa jimbo la Donbass. 

Mkuu wa majeshi mjini Kiev amesema wanajeshi wa Urusi wameshambulia katikati ya mji huo kwa kufyetua mabomu na kuwafurusha wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamebakia katika eneo hilo.

 Kwa mujibu wa hali inayoripotiwa kwenye eneo hilo, licha ya pigo kubwa kwa wanajeshi wa Ukraine, bado mapigano yanaendelea katika eneo la mji huo wa Severodonestk na kwamba bado Ukraine inadhibiti kiasi thuluthi ya mji mzima. 

Saa chache kabla ya ripoti hiyo, rais Volodymyr Zelensky alisema wapiganaji wanaoitetea Ukraine wanapambana kuilinda kila sehemu ya ardhi yake katika mji huo. Kufikia sasa imeelezwa kwamba Urusi inadhibiti asilimia 90 ya jimbo la Luhansk na inaendelea kusogea mbele kuuzingira kikamilifu mji wa Severodonetsk. 

Kiwanda cha kemikali cha Azot kilichoko kwenye mji huo pia kimeelezwa kuwa chini ya Urusi. Kwa mujibu wa maafisa wa Ukraine bado kuna raia wanaoendelea kujificha kwenye kiwanda hicho wakijikinga dhidi ya mashambulio ya anga.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jeshi la Ukraine lakiri askari wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severodonetsk
Jeshi la Ukraine lakiri askari wake wamefurushwa katikati ya mji wa Severodonetsk
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxXsPpawBKqe7gIzjR9KgrQb5TzSkGXnjI_Bxcb6Oyf4hBnNMmWV387Vw0hRPzp9zf2SmhkirKULVf1va-GyERS9qij-JLqIqEbNhgAIDd3i00WZL4JgNZC0h-tmuD_qNQllLMS5HTZS0o6cbwth38c8lqRDJP2k7NwBPHXYbBD0HozXdSlOpc32Av3A/s16000/Pierini__Russia-EU-NATO_GettyImages-1232304328_1420x770_v2-660x400.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxXsPpawBKqe7gIzjR9KgrQb5TzSkGXnjI_Bxcb6Oyf4hBnNMmWV387Vw0hRPzp9zf2SmhkirKULVf1va-GyERS9qij-JLqIqEbNhgAIDd3i00WZL4JgNZC0h-tmuD_qNQllLMS5HTZS0o6cbwth38c8lqRDJP2k7NwBPHXYbBD0HozXdSlOpc32Av3A/s72-c/Pierini__Russia-EU-NATO_GettyImages-1232304328_1420x770_v2-660x400.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/jeshi-la-ukraine-lakiri-askari-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/jeshi-la-ukraine-lakiri-askari-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy