AZAM FC:DUBE AMEPONA KWA SASA
HomeMichezo

AZAM FC:DUBE AMEPONA KWA SASA

  UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuendelea kuonyesha uwezo wake ...

 


UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuendelea kuonyesha uwezo wake ndani ya uwanja baada ya kukaa kwa muda wa wiki sita akitibu jeraha la mkono.

Dube ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina aliyechukua mikoba ya Aristica Cioaba.

Aliumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga akiwa kwenye harakati za kuwania mpira baada ya kugongana na beki wa Yanga, Bakari Mwamnyeto.

Amehusika kwenye jumla ya mabao 10 ndani ya Azam FC kati ya 24 ambayo yamefungwa na timu hiyo ambayo ipo nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara na pointi zake kibidoni ni 32.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa Dube yupo tayari kwa ajili ya mechi za ushindani.

"Alikuwa nje kwa muda mrefu ila kwa sasa tayari amesharejea na yupo tayari kwa ajili ya mechi za ushindani na zile za kirafiki.

"Tupo vizuri na maandalizi yanakwenda sawa hivyo ni suala la muda tu kwa mashabiki wa Azam FC kuona uwezo wa nyota Dube pamoja na wengine ndani ya uwanja," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC:DUBE AMEPONA KWA SASA
AZAM FC:DUBE AMEPONA KWA SASA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGzlKuX6uN9YgbfUnXyg1OhddrIlavmm9zm4FRHMl97ZWJi0RafvnCB-15JdaP160a3zGaL5fqzuCl7lnmGKWSishS3IwmnaLhdVtvlLd4dh7TiV_e4nQdkwO2QXN5NIqeggravuIRfjcj/w640-h638/Dube+kapona.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGzlKuX6uN9YgbfUnXyg1OhddrIlavmm9zm4FRHMl97ZWJi0RafvnCB-15JdaP160a3zGaL5fqzuCl7lnmGKWSishS3IwmnaLhdVtvlLd4dh7TiV_e4nQdkwO2QXN5NIqeggravuIRfjcj/s72-w640-c-h638/Dube+kapona.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fcdube-amepona-kwa-sasa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/azam-fcdube-amepona-kwa-sasa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy