TBS Yateketeza Bidhaa Zisizokidhi Ubora Zenye Thamani Ya Milioni 40
HomeHabari

TBS Yateketeza Bidhaa Zisizokidhi Ubora Zenye Thamani Ya Milioni 40

Na Eliud Rwechungura Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milion...

Waziri Kijaji: Tanzania Itaendeleza Ushirikiano Wa Kibiashara Kati Ya Tanzania Na Uingereza
Tanzania Kuwavutia Wawekezaji Kwenye Siku Ya Tanzania Maonesho Ya Expo 2020 Dubai
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo February 2


Na Eliud Rwechungura
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milioni 40 ambazo ziliondolewa sokoni na Wakaguzi wa TBS kanda ya kati kuanzia mwezi Novemba, 2020 hadi Januari 15, 2021.

Zoezi hilo la uteketezaji bidhaa hizo limefanyika katika dampo Chidachi - Dodoma, Januari 27,2021

Bidhaa zilizoharibiwa ni pamoja na vipodozi vyenye viambata sumu, vyakula na vinywaji ambavyo muda wake wa matumizi umepita (Expired produducts) vilivyopatikana katika maduka mbalimbali yaliyopo katika mikoa ya Dodoma, Tabora na Singida.

Sheria ya Viwango Na. 2 ya mwaka 2009 pamoja na Sheria ya Fedha Na.8 ya mwaka 2019 mbali na majukumu mengine zimelipa mamlaka Shirika kuondoa bidhaa hafifu sokoni na kuziharibu ama kuzirudisha zinakotoka pindi zinapobainika kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.

Wakaguzi wa TBS hufanya ukaguzi wa bidhaa wa bidhaa viwandani na sokoni ili kujiridhisha na hali halisi ya soko na inapobainika uwepo wa bidhaa hafifu huondolewa sokoni na aliyekutwa na bidhaa hizo hulazimika kulipia gharama ya uteketezaji.

Mkaguzi wa udhibiti ubora TBS, Lazaro Msasaranga ametoa rai kwa wafanyabiashara wote kuhakikisha kuwa wakati wote wanazingatia masuala ya ubora kwa kuuza bidhaa za vipodozi na vyakula vilivyosajiriwa pamoja na ukomo wa matumizi wa bidhaa hizo ili kumulinda mlaji na kuepuka hasara ya kuharibiwa bidhaa hizo. Pia wafanyabiashara wote wanatakiw kusajili bidhaa za vyakula, vipodozi, majengo ya kufanyia biashara na maghara ya kuhifadhia bidhaa hizo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TBS Yateketeza Bidhaa Zisizokidhi Ubora Zenye Thamani Ya Milioni 40
TBS Yateketeza Bidhaa Zisizokidhi Ubora Zenye Thamani Ya Milioni 40
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaus2pWfkUMDut5hm183GojOtg_R9ILyfgrKDWdS32D5xmW3ozefntM5Jkjap5nsB1kXiJ9YUYE3KDa2ovRQihQzofvK1Xk3vM9zNg5K2f572-MufIOt0mk16qIMG-jf0Q5WHYRCKiTDhc/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaus2pWfkUMDut5hm183GojOtg_R9ILyfgrKDWdS32D5xmW3ozefntM5Jkjap5nsB1kXiJ9YUYE3KDa2ovRQihQzofvK1Xk3vM9zNg5K2f572-MufIOt0mk16qIMG-jf0Q5WHYRCKiTDhc/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/tbs-yateketeza-bidhaa-zisizokidhi-ubora.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/tbs-yateketeza-bidhaa-zisizokidhi-ubora.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy