Bunge jipya la Marekani kukutana Jumanne
Seneta Mitch McConnell akitembea kuelekea ukumbi wa bunge mjini Washington, Nov. 13, 2014.
HomeHabariKimataifa

Bunge jipya la Marekani kukutana Jumanne

Seneta Mitch McConnell akitembea kuelekea ukumbi wa bunge mjini Washington, Nov. 13, 2014. Bunge jipya la Marekani linakutana Jum...


Bunge jipya la Marekani linakutana Jumanne huku wa-Republican wakidhibiti mabaraza yote mawili, la wawakilishi na senate, na wa-conservative wakiwa na azma ya kubadilisha  baadhi ya sera za Rais Barack Obama.

Kiongozi ajaye wa walio wengi katika baraza la seneti, Mitch McConnell alizungumza na kituo cha televisheni cha CNN nchini Marekani, Jumapili alisema kwa sababu wamarekani walipiga kura kwa serikali iliyogawanyika, bunge linalodhibitiwa na Republican na Rais mdemocratic, haimaanishi kuwepo na mvutano.

McConnell alisema wapiga kura wanataka muafaka na maendeleo kwenye masuala muhimu. Kiongozi huyo wa Republican anasema kazi kubwa ya kwanza kwa baraza la seneti  itakuwa kuidhinisha bomba la mafuta la Keystone. Wafuasi wanasema litabuni  nafasi zaidi za ajira na uhuru wa nishati kwa Marekani.

Wapinzani wa Democrat wanaita hili  ni janga la kimazingira linasubiri kutokea na licha ya yote hayo lakini  nafasi chache za ajira zitakuwa za muda.  Wa-Republican katika mabaraza yote pia wataangalia kutengua sahihi ya Rais Barack Obama ya mageuzi ya huduma za afya na kuzuia amri yake ya kiutendaji kwenye suala la uhamiaji.
Rais Barack ObamaRais Barack Obama

Bwana Obama alisema atatumia  kura ya turufu kwenye miswaada ya Republican asiyofurahishwa nayo. Hata kama wapo wengi kwenye mabaraza yote wa-Republican huwenda wasiwe na kura za kutosha kubadili matokeo ya kura ya  turufu itakayotumiwa.
Lakini Rais anasema anajiandaa kufanya kazi na bunge jipya na anaamini kuna mtizamo wa  pamoja kwenye masuala mengi.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bunge jipya la Marekani kukutana Jumanne
Bunge jipya la Marekani kukutana Jumanne
http://gdb.voanews.com/A842D2B3-3CBF-4D7C-8653-9506469C6012_w640_r1_s.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/bunge-jipya-la-marekani-kukutana-jumanne.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/bunge-jipya-la-marekani-kukutana-jumanne.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy