JOSE MOURINHO ASEPA SPURS BILA TAJI LOLOTE LILE
HomeMichezo

JOSE MOURINHO ASEPA SPURS BILA TAJI LOLOTE LILE

 JOSE Mourinho ametimuliwa ndani ya kikosi cha Tottenham zikiwa zimesalia siku tano kabla ya timu hiyo haijacheza Fainali ya Kombe la Cara...


 JOSE Mourinho ametimuliwa ndani ya kikosi cha Tottenham zikiwa zimesalia siku tano kabla ya timu hiyo haijacheza Fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Manchester United.

Kutimuliwa kwa kocha kocha huyo kumetokana na mwendo mbovu wa timu hiyo msimu huu ikiwa haina uhakika wa kuingia ndani ya nne bora.

Timu hiyo kwenye Ligi Kuu England ipo nafasi ya saba imekusanya pointi 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 32 na ina mechi sita mkononi kumaliza msimu huu wa 2020/21.

Kocha huyo aliibuka ndani ya Spurs Novemba 2019 kwa matumaini makubwa ya kufanya vizuri akichukua mikoba ya Mauricio Pochettino na alisaini mkataba wa miaka minne ila amekiongoza kikosi hicho kwa miezi 17 na kutimuliwa mazima.

Mourinho ameifikisha timu hiyo hatua ya Fainali ya Carabao ila ametolewa kwenye FA  hatua ya nusu fanali na hajashinda taji lolote lile na inakuwa ni mara yake ya tatu kuweza kutimuliwa ikiwa ni Chelsea, Manchester United na sasa Tottenham.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JOSE MOURINHO ASEPA SPURS BILA TAJI LOLOTE LILE
JOSE MOURINHO ASEPA SPURS BILA TAJI LOLOTE LILE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDKG6-o0eI3TTxE20r_pVNOwWpTXN__h_eqsjTW_GcWUNLK_Gir5K9TuBTx-fb8U4o-A4bBVgmcpPuvTRoc9_tyHDclx0gFgOaOA8_l2BTHsfYMiv8ea6j6QFZR_jmJJbyWmdJSSeySMaV/w640-h432/Mourinho+stress.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDKG6-o0eI3TTxE20r_pVNOwWpTXN__h_eqsjTW_GcWUNLK_Gir5K9TuBTx-fb8U4o-A4bBVgmcpPuvTRoc9_tyHDclx0gFgOaOA8_l2BTHsfYMiv8ea6j6QFZR_jmJJbyWmdJSSeySMaV/s72-w640-c-h432/Mourinho+stress.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jose-mourinho-asepa-spurs-bila-taji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jose-mourinho-asepa-spurs-bila-taji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy