Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia
HomeHabari

Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza muda mfupi uliopita kupitia runinga...

Jeshi La Polisi Singida Lakamata Dawa Za Kulevya Na Pikipiki Zilizoibwa
Ujenzi Wa Meli Ya Mv Mwanza Wafikia Asilimia 54
Jeshi La Polisi Lakamata Jezi Feki, Watuhumiwa 15 Wakamatwa

Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza muda mfupi uliopita kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya.

Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kutoka mwaka 2002 hadi 2013. Rais Uhuru Kenyatta amesema kiongozi huyo wa zamani wa taifa ataandaliwa mazishi ya kitaifa.

Uhuru ametangaza kuwa Kibaki amefariki usiku wa siku ya Alhamisi.Uhuru anamuomboleza mtangulizi wake kama kiongozi ambaye alileta ukuaji wa kiuchumi , demokrasia na kuimarisha hali ya uchumi ya Wakenya.

Amesema kwamba benderazote katika majumba ya umma , wizara na balozi zote duniani zitasalia nusu mlingoti hadi pale atakapozikwa.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki afariki dunia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgN3l6YsRDZ1sntxZitHJIO3PQR-aElEO2NmU2VCl5GyzVyYUXq-aMdMzLlCfNfKvgCeJBI1t9oB4C4-vFLRGrn5MTEuLiWxWKxdvQJyWmfyZZhXkb6bUT7uCUd4S-q5CPEHWNvljajEMJGWK8yn108zIu2iVX_9NV8zypLVnKU8-j9tp6StSBI8BfLQQ/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgN3l6YsRDZ1sntxZitHJIO3PQR-aElEO2NmU2VCl5GyzVyYUXq-aMdMzLlCfNfKvgCeJBI1t9oB4C4-vFLRGrn5MTEuLiWxWKxdvQJyWmfyZZhXkb6bUT7uCUd4S-q5CPEHWNvljajEMJGWK8yn108zIu2iVX_9NV8zypLVnKU8-j9tp6StSBI8BfLQQ/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/rais-wa-zamani-wa-kenya-mwai-kibaki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/rais-wa-zamani-wa-kenya-mwai-kibaki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy