MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stand United katika mechi ya ligi kuu soka...
MABINGWA watetezi wa ligi kuu
soka Tanzania bara wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stand United
katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyomalizika jioni hii
uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga.
Bao pekee la Azam fc limefungwa na kiungo Frank Domayo ‘Chumvi katika dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza.
COMMENTS