Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani
HomeHabariTop Stories

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amefanya ziara katika tarafa ya Isimaniambapo amekagua miradi ya maendeleo, kuongea na walimu sanj...

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amefanya ziara katika tarafa ya Isimaniambapo amekagua miradi ya maendeleo, kuongea na walimu sanjari na kuongea na wananchi kupitia mkutano wa hadhara na kutatua changamoto ya mgogoro wa ardhi

Katika miradi ya maendeleo Mhe. Kheri, amekagua ujenzi wa maabara, chumba cha upasuaji, nyumba ya mtumishi na ujenzi wa vyoo vya kisasa ambapo miradi yote hii ipo katika hatua za mwishoni kwa ajili ya ukamilishwaji. Mhe. Kheri amepongeza kazi kubwa iliyofanyika na inayoendelea kufanyika na kutoa wito wa kutunzwa kwa miundombinu husika

Mhe Kheri amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya fedha zilizoletwa hasa kwenye jengo la upasuaji ambapo tayari vifaa vyote vinavyotakiwa vimeshatolewa na huduma zimeanza kutolewa.

Kwa upande mwingine Mhe. Kheri chanzo cha maji kilichopo Izazi kabla ya kuwa na wasaa wa kuongea na walimu wa shule mbalimbali za kata ya izazi na baadaye kuongea na walimu wa shule za kata ya Migoli.

Aidha, katika kijiji cha Migoli Mhe. Kheri amefanya mkutano na viongozi mbalimbali wa dini, kusikiliza mgogoro wa mipaka kati ya kijiji cha Mbweleli na Makatapola ambapo baadaye jioni amefanya mkutano na wananchi

The post Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/GpsaO2E
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James afanya ziara tarafa ya Isimani
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/16065edd-ede6-42f4-aeac-e62a9ec8fc84-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mkuu-wa-wilaya-ya-iringa-mhe-kheri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mkuu-wa-wilaya-ya-iringa-mhe-kheri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy