NAHODHA wa timu ya U 20 ameweka wazi kuwa kikubwa ambacho kimewasaidia kuweza kufanya vizuri ni kutokana na kukaa kambini kwa muda mrefu na ...
NAHODHA wa timu ya U 20 ameweka wazi kuwa kikubwa ambacho kimewasaidia kuweza kufanya vizuri ni kutokana na kukaa kambini kwa muda mrefu na kufanya maandalizi kwa muda mrefu na malengo makubwa ni kuweza kufika Kombe la Dunia na ndoto zake ni kucheza nje ya Tanzania.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS